Tusubiri ukiwa wa UKAWA-JK

Tusubiri ukiwa wa UKAWA-JK

singidadodoma

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2013
Posts
4,394
Reaction score
1,538
DSC00067.jpg
 
Duu impact za slaa na lipumba hazijafanya kazi sasa makamba na jk
Nendeni mkafufue wafu waje wawasaidie
 
wache waseme2 hatuami wala nini na vjana 2tapga kura na kuzlnda 2mechoshwa na uongo wao
 
Mzee Marope,haya tumeshakusikia kumbe sera za Kulindana ndo zilizowafikisha hapo
 
JK mwenyewe anatetemeka.
Kila mara anamtuliza Pombe,''usihofu''
 
Ccm maneno mengi ya nn c mnajiamini?. Subirini Oct tutakapo tumia vichinjio vyetu
 
Hii tabia ya kujaza maneno yale yale mara nyingi kwenye mada moja ni U-great thinker kweli? JF sasa imeshuka hadhi yake kabisa! Heshima itapatikana tarehe 25/10 ambapo watu watalia na kusaga meno!
 
Back
Top Bottom