Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,056
- 10,341
Dah...kwa kifupi....serikali mzima ya CCM inabidi ijiuzulu....tufanye uchaguzi upyaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu, kosa alihalalishwi na kosa jingine.Mechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
Bongo Sihami
Wote tunajua, ukiachana na njia waliyotumia Yanga leo, hakuna njia nyingine ambayo ingeweza kuvuta tension ya wahusika (TFF na Serikali).
Hao viongozi wa tff wangewajibishwa kutokana na situation hii
Na olewao TFF tarehe ya marudiano iwe na namba nane,tunapindua meza tena.View attachment 1777750wamepindua meza TFF
Hii sio kweli, taarifa ilitolewa tarehe 21 wakati mechi ilikuwa tarehe 25, acheni kutetea ujingaMechi ya Yanga vs Azam ilibadilishwa kutoka saa 10 hadi saa 2:15 usiku na matangazo yalitolewa saa 6 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Mechi ya Yanga vs Biashara United ilisogezwa mbele kutoka saa 10 hadi saa 1 na taarifa zilizotolewa saa 8 mchana siku hiyohiyo ya mechi. Katika mabadiliko hayo ya ratiba hatukuona watu wanagomea mchezo Je, ni kweli sababu za Yanga zina mashiko
Bongo Sihami
Mkuu, kosa alihalalishwi na kosa jingine.
Kila mechi inayosogezwa mbele, sababu huwa zinawekwa wazi. Je, mechi hii sababu yake ni ipi?
Alaf ukirudi nyuma, hii mechi ilisogezwa mbele kipindi cha nyuma. We ushabiki pembeni, TFF wamechemka kupokea order za kisiasa.
Asante mkuu kwa hii reference. Tanzania ni nchi inayoongozwa na wajinga, na pia wananchi wake wengi vilaza.Hii sio kweli, taarifa ilitolewa tarehe 21 wakati mechi ilikuwa tarehe 25, acheni kutetea ujinga
View attachment 1778143
Ni kweli, sisi kama mashabiki tunahaki ya kuambiwa sababu. Mechi ya Azama na Yanga iliposogezwa mbele, walitoa sababu.Watuwekee hiyo barua ya waziri huu usanii TFF au Simba tumechoka nao
Tatizo Tabia Za Uswahilini Tunaleta Kwenye Kila Nyanja.Watu wanakaa uwanjani tokea asubuhi, alaf unasogeza ratiba mbele as if ni mkutano wa chama
Ni jambo la kushangaza hadi sasa kimya kimetawala.Hao viongozi wa tff wangewajibishwa kutokana na situation hii
Mtani mbona unaogopa sana tarehe za nane?Na olewao TFF tarehe ya marudiano iwe na namba nane,tunapindua meza tena.
The next level.
Tatizo watu wenye tabia za unjuka ni wengi.Asante mkuu kwa hii reference. Tanzania ni nchi inayoongozwa na wajinga, na pia wananchi wake wengi vilaza.
Hata sehemu yenye uhalisia, watu wanaongozwa na ushabiki au mihemko. Tff wamezingua kwa ili.
Tz tunakawaida ya kutoheshimiana. Waliopo juu, wanaona wa chini ni wajingaTatizo watu wenye tabia za unjuka ni wengi.