Lugano Edom Senior Member Joined Dec 2, 2021 Posts 161 Reaction score 298 Oct 15, 2024 #1 Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11
Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11
Notorious_Marcc JF-Expert Member Joined Feb 16, 2024 Posts 2,598 Reaction score 6,147 Oct 15, 2024 #2 Ni nani aliyekuwa akiambiwa hayo maneno? π€
Lugano Edom Senior Member Joined Dec 2, 2021 Posts 161 Reaction score 298 Oct 15, 2024 Thread starter #3 CriSanToS said: Ni nani aliyekuwa akiambiwa hayo maneno? π€ Click to expand... Wanafunzi wa YESU /WAFUASI WA YESU KRISTO
CriSanToS said: Ni nani aliyekuwa akiambiwa hayo maneno? π€ Click to expand... Wanafunzi wa YESU /WAFUASI WA YESU KRISTO
Mshangazi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2024 Posts 1,140 Reaction score 4,520 Oct 15, 2024 #4 Walioiandika hawaisomi Acha kinyumanyuma cha kusoma vitabu vya historia za magaidi
Lugano Edom Senior Member Joined Dec 2, 2021 Posts 161 Reaction score 298 Oct 15, 2024 Thread starter #5 Kivipi
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 8,624 Reaction score 12,205 Oct 15, 2024 #6 Hizo ni hadithi tu, ungesema tusome kuhusu "Newton's law of motion".
Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 12,464 Reaction score 27,541 Oct 15, 2024 #7 Lugano Edom said: Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11 Click to expand... 1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, Ameni
Lugano Edom said: Mpenzi, usiuige ubaya, bali uige wema. Yeye atendaye mema ni wa Mungu, bali yeye atendaye mabaya hakumwona Mungu. 3 Yohana 1:11 Click to expand... 1 Wakorintho 6:9 Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti, Ameni