Invisible JF Admin Joined Feb 26, 2006 Posts 16,286 Reaction score 8,447 Oct 10, 2010 #1 Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika. Kwa walio nyumbani waangalie TBC1
Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika. Kwa walio nyumbani waangalie TBC1
Mr. Politician Member Joined May 16, 2008 Posts 74 Reaction score 7 Oct 10, 2010 #2 Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa......
Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa......
Nduka JF-Expert Member Joined Dec 3, 2008 Posts 8,552 Reaction score 2,385 Oct 10, 2010 #3 Mr. Politician said: Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa...... Click to expand... huo upupu mmewekewa sehemu maalum kuuweka....aaah
Mr. Politician said: Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa...... Click to expand... huo upupu mmewekewa sehemu maalum kuuweka....aaah
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,919 Oct 10, 2010 #4 Kila la heri kwa vijana wa Tz.
Preta JF-Expert Member Joined Nov 28, 2009 Posts 24,320 Reaction score 18,875 Oct 10, 2010 #5 Invisible said: Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika. Kwa walio nyumbani waangalie TBC1 Click to expand... asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi?
Invisible said: Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika. Kwa walio nyumbani waangalie TBC1 Click to expand... asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi?
Mr. Politician Member Joined May 16, 2008 Posts 74 Reaction score 7 Oct 10, 2010 #6 TBC1 kama kawaida yao wanakatika katika na kuweka matangazo katikati ya shoo
PayGod JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 1,259 Reaction score 64 Oct 10, 2010 #7 leah amepita, atakuwa ndani ya nyumba ya tusker project fame
L lagusya Member Joined Feb 26, 2010 Posts 17 Reaction score 1 Oct 10, 2010 #8 Leah namkubali, all the best, ushindani ni mkali,
g.n.n JF-Expert Member Joined Oct 8, 2010 Posts 407 Reaction score 49 Oct 13, 2010 #9 msechu yupo bana tena kwa kweli anaimba vizuri sana ila anahitajika kuimba nyimbo zake kwa lugha ya kiingereza coz anatumia sana kiswahili,
msechu yupo bana tena kwa kweli anaimba vizuri sana ila anahitajika kuimba nyimbo zake kwa lugha ya kiingereza coz anatumia sana kiswahili,
Rubi JF-Expert Member Joined Oct 5, 2009 Posts 1,615 Reaction score 332 Oct 18, 2010 #10 Hivi ilikuwaje yule Tom wa Uganda akawa evicted jana, maana sikuona shoo iliyopita na TBC1 siku hizi haiko stable inakatikakatika sana yaani mtu unashindwa kufurahia shoo. sijui nao wanamatatizo gani au ndio mtambo imechakachuliwa kichina china!
Hivi ilikuwaje yule Tom wa Uganda akawa evicted jana, maana sikuona shoo iliyopita na TBC1 siku hizi haiko stable inakatikakatika sana yaani mtu unashindwa kufurahia shoo. sijui nao wanamatatizo gani au ndio mtambo imechakachuliwa kichina china!
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,409 Oct 18, 2010 #11 Preta said: asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi? Click to expand... Msechu naona kama anajitahidi kwa Lugha ..Leah pia nilimsikia sikia ingawa si sana ..
Preta said: asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi? Click to expand... Msechu naona kama anajitahidi kwa Lugha ..Leah pia nilimsikia sikia ingawa si sana ..