Tusker Project Fame is back!

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika.

Kwa walio nyumbani waangalie TBC1
 
Yeah! peter kashaingia ila Leah inabid apiganie nafasi yake la sivyo anarudi Bongo kusubiri kumpigia kura Dr Slaa......
 
Nasikia Leah Muddy na Peter Msechu toka Tanzania wapo... Zaidi ni baada ya uzinduzi kukamilika.

Kwa walio nyumbani waangalie TBC1

asante mkuu kwa hii habari nyeti....sasa kuhusu lugha itakuwaje? au haijalishi?
 
msechu yupo bana tena kwa kweli anaimba vizuri sana ila anahitajika kuimba nyimbo zake kwa lugha ya kiingereza coz anatumia sana kiswahili,
 
Hivi ilikuwaje yule Tom wa Uganda akawa evicted jana, maana sikuona shoo iliyopita na TBC1 siku hizi haiko stable inakatikakatika sana yaani mtu unashindwa kufurahia shoo. sijui nao wanamatatizo gani au ndio mtambo imechakachuliwa kichina china!
 
Back
Top Bottom