JuaKali JF-Expert Member Nov 14, 2007 776 118 Dec 23, 2008 #61 Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe!
R RR JF-Expert Member Mar 17, 2007 6,966 2,019 Dec 24, 2008 #62 Juakali said: Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe! Click to expand... Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena.
Juakali said: Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe! Click to expand... Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena.
Fidel80 JF-Expert Member May 3, 2008 21,947 4,446 Dec 24, 2008 #63 Roya Roy said: Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena. Click to expand... Sio kweli mbona wali fight sana lakini ndo hivyo Simba kiwango kipo chini huwezi linganisha na Yanga kwa kila idara.
Roya Roy said: Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena. Click to expand... Sio kweli mbona wali fight sana lakini ndo hivyo Simba kiwango kipo chini huwezi linganisha na Yanga kwa kila idara.
Belo JF-Expert Member Jun 11, 2007 12,889 10,196 Dec 24, 2008 #64 Wote vibonde but Yanga wachezaji wengi walikuwa na Stars ,hawakupata muda wa kujiandaa
B Babuji Senior Member Nov 27, 2008 197 3 Dec 24, 2008 #66 Kama kawaida nitawarushia full details za matokeo na picha za mechi ya mtibwa toka Nifahamishe dakika chache baada ya game
Kama kawaida nitawarushia full details za matokeo na picha za mechi ya mtibwa toka Nifahamishe dakika chache baada ya game
M Mwanjelwa JF-Expert Member Jul 29, 2007 956 145 Dec 24, 2008 #67 Masatu said: Mshaanza visingizio sijui kura za kihuni... fungu la kukosa la kukosa tu.. Click to expand... Masatu vipi? Tupe updates za leo. BBC swahili nao wanatangaza upuuzi wa nyimbo tu badala ya kuweka programme za kawaida ikiwemo sports. Msatu?
Masatu said: Mshaanza visingizio sijui kura za kihuni... fungu la kukosa la kukosa tu.. Click to expand... Masatu vipi? Tupe updates za leo. BBC swahili nao wanatangaza upuuzi wa nyimbo tu badala ya kuweka programme za kawaida ikiwemo sports. Msatu?
Belo JF-Expert Member Jun 11, 2007 12,889 10,196 Dec 25, 2008 #68 Masatu ni Simba timu yake imetolewa
M Mwanjelwa JF-Expert Member Jul 29, 2007 956 145 Dec 25, 2008 #69 Belo said: Masatu ni Simba timu yake imetolewa Click to expand... Sasa yeye anaangalia Simba tu?!