Crashwise
JF-Expert Member
- Oct 23, 2007
- 22,227
- 8,735
wamekaza kinoma.....wamezidiwa vitu vidogo tu....watarudisha tu...
lini kwenye kipindi cha michezo jioni...hahaha
wamekaza kinoma.....wamezidiwa vitu vidogo tu....watarudisha tu...
wamekaza kinoma.....wamezidiwa vitu vidogo tu....watarudisha tu...
hili kombe litaenda Rwanda aisee.....
hahahahaha aisee huu sijui tatizo ni CCM au ni nini? fidel kasema jamaa wapunguze kula urojo hahahalini kwenye kipindi cha michezo jioni...hahaha
ahaha Boban si hatakuwepo wameshapata kisingizio cha kufungwa.....Mloge timu yenu ya simba kesho ishinde.
ahaha Boban si hatakuwepo wameshapata kisingizio cha kufungwa.....