Tusizunguke mbuyu kuhusu wasiojulikana

Tusizunguke mbuyu kuhusu wasiojulikana

Kuna watanzania wengi sana waliodhulumiwa uhai, waliojeruhiwa na waliotekwa na kuteswa na hawa WASIOJULIKANA. Swali LA kujiuliza hapa ni kwamba: mbona WAATHIRIKA wote wana mlengo mmoja? Wote ni wakosoaji wa serikali. Kwanini?

Watanzania siyo wajinga.

Kule Rwanda kuna INTERAHAMWE, Burundi kuna MBONERAKULE, Zanzibar kuna MAZOMBI. Makundi yote haya yanafanya kazi kwa mtindo, malengo na nia sawa na iWASIOJULIKANA. Na yote yana kinga dhidi ya mkono wa dola.

Tena hao interahamwe wamaekuwa wakiwafuatilia wapinzani wa PK hata nje ya nchi na kuwaua.

Watanzania siyo wajinga.
Muda utaongea.

Nilidhani utawataja hao ' Wasiojulikana ' kama ambavyo umeonyesha kuwa unawajua na uhakika nao badala yake naona ' blah blah ' tupu!
 
Jakaya alikuwa mwelewa amezunguka duniani alijua nini maana ya democracy na namna ya kuongoza watu sio hii mbuzi yenye bichwa ka korosho lilifaa kuwa nyapara la barabara tu, hivi anajua kuwa tumemchoka? Na tumemchoka kweli it's just a matter of time.
Mkuu acha kashfa kwa My Rais.Kosoa tu kwa staha na ukosoaji wako utasikika vizuri
 
Back
Top Bottom