unkown_member
Member
- Jan 31, 2018
- 27
- 32
Asee yaani unaweza ukawa mjanja lakn usiombe kabisa yakakukuta! Sa hv sitaki mchezo kabisaa!! Hata Papuchi siitakiMmh. Kipindi cha nyuma ndio Ukimwi ulikuwa unaogopwa ila now days mmh.
Umekuwa ugonjwa wa kawaida na watu hawana habari, wala hofu nao nadhani moja ya sababu ni hizi dawa za kuongeza makali hivyo kila anayempima mwenzie kwa kutumia macho anamuona ni mzima.
Ni kumi kwa mmoja wenye kuwaza kupima kabla ya kufanya yale mambo yetu walio wengi wanaamini hiyo mipira kwa 100% na kupimana kwa macho.
1. Kufanya tendo la Ndoa na aliyeathirika bila kinga.Natamani kungelikuwa na namna ya kutambua asili za maambukizi.
Binadamu kama huyu!!
Kukutwa na yapi sasa Mkuu?Asee yaani unaweza ukawa mjanja lakn usiombe kabisa yakakukuta! Sa hv sitaki mchezo kabisaa!! Hata Papuchi siitaki
Kinapima antibodies Specific kwa hHIVHakuna ugonjwa wa ukimwi, mtu yeyote anaugua pindi kinga yake ya mwili ikiwa chini, hivyo msipime ukimwi mkiwa mnaumwa maradhi ya kuambukizwa kama malaria au kipindupindu[emoji23] maana kipimo cha HIV huangalia kinga ya mwili na sio kirusi