Tusiwafadhaishe wanawake, tutimize wajibu!

uzinzi dawa yake uzinifu tu,hakuna namna. unafurahia kumtongoza kahaba pale sinza,eti amekukubali..mambo mengine bhana....
Mbona una hasira mkuu!

Msijali aisee... mtarudishwa tu kazini.. Dangote hafungi kiwanda.
 
hapo kwenye "kilichofuata kila mtu anajua" ndo umeharibu kila kitu...hivi huwez msaidia mtu kwa moyo safi mpaka ufanye naye uzinzi......na wote msivyo kuwa na busara ndani ya siku moja mkazin....kweli kizaz hiki ni cha uzinz na zinaa......Mungu aturehemu
 
Ninaweza kukihakikishia kuwa lengo langu kuu lilikuwa ni kuleta furaha, tabasamu katika sura yake....

Na hio ndio ilikuwa njia pekee kwa wakati huo. Haswa kwa mwanamke aliye katika situation ya namna ile....

Nadhani hakuna baya ambalo nililomfanyia.
 
baya ulilofanya hapo ni uzinzi tu.....ndugu yangu furaha inayotokana na dhambi huwa ni ya muda mfupi tu
 
Furaha ni furaha tu haijalishi ni ya dhambi au la. Hongera mkuu kwa kuwa sera zako zilikubaliwa na ukapewa zawadi ya ushindi
 
Ila hiyo ni hatari mkuu. Kuna baadhi ya wadada wamebeba mazito kwenye k zao. Unasex na stranger kirahisi hivyo? Anyaway Life Is How U Make It.
 
Back
Top Bottom