Tusiwafadhaishe wanawake, tutimize wajibu!

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,309
Reaction score
15,288
Kichwa hapo juu kinahusika sana. Nimeona tujadili hili sana ambalo nimekuwa nikilisikia na hivi jana nimeliishi.

Siku ya Jumapili, majira ya mchana saa 7 nilikuwa maeneo ya Ununio Beach....nikipata 2,3.
Ghafla akatokea bi mdada aliyeonekana akitokea maeneo ya Barabarani akielekea huku upande wa Beach. Alipofika hapa beach nilitarajia kuwa angesogea eneo la kaunta na kuagiza mbili tatu. Badala yake akielekea moja kwa moja kandokando ya bahari. Akiangalia bahari huku akionekana kama akiwa na Mawazo.

Sio siri kilichonivutia kwa huyu mdada ni uani kwake. Na katikati akiwa kama dondora. Bila kusahau pia alikuwa mkubwa ki umri.

Bila shaka akilini mwangu nilijua kuwa amekuwa ().... na si vinginevyo.
Nikaona isiwe tabu. Nikatoka eneo nililokuwa ninapata 2,3. Kujisogeza kwake! kwa ujasili wa ziada.

Baada ya maongezi mafupi, kile nililokuwa nawaza akilini ndilo lililo msibu (yaani ) . Ikabidi nitumie jitihada za ziada kumsogeza mezani ili apate kinywaji (hakutumia kilevi) ..... Hapo ndipo tukazungumza mengi kuhusu yeye hata ikafika hatua machozi yakawa yanamtoka. Nikatoa kitambaa mfukoni... (ili ajifute machozi), nikabadilisha gear ya maongezi na sasa tukawa tukazungumza mengine na kucheka kwa sana.

Maongezi na vicheko vilishika hatamu baina yetu. Ndani ya moyo wangu nikaridhika kwa kuweza kufanikiwa kumtoa katika hali ya mfadhaiko, huzuni na masikitiko na kumfanya mwanamke pekee mwenye fulaha kuliko yeyote pale beach.

Basi muda ukawa unawahi medali.
Akiwa anaonyesha utayari wa kurudi kwake.... Nikamuomba kuwa nitampeleka kwake lakini aniruhusi nipitie ghetto mara moja nikachukue baadhi ya vitu ambavyo nilikuwa na mpango wa kuvipipeleka Mwenge.

Basi tukapitia ghetto... Kufika nikaona asiondoke hivi hivi. Nikamshawishi tupate msosi wa jioni kabla hatuja ondoka.
Baada ya kula Nikaona nisimuache hivi hivi huyu mwanamke. Nikaona kuwa yanipasa kumpatia furaha isiyo ya kifani (Ultimate Happyness).

"Kilichotokea nisingependa kukielezea kwa maneno, Kila mtu anakijua"

Ila lengo kuu la huu uzi ni kuwajulisha wanaume wenzangu kuwa these women are so vurnelable. Tunawajibu wa kuwalinda na kuwatunza. Hatupaswi kuwafanya wasiwe na furaha. Tusijaribu kukwepa majukumu.
Nilijikuta nikifanya majukumu ya mwanaume mwenzangu ambaye alishindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo.
 
na yeye ni mwepesi yaani siku hiyohiyo tu tayari akasaula! ama kweli ulimpa nyama ya ulimi
 
Bas hongera zako kwa kutembea na mwanamke wa mtu.
Nina mapenzi ya dhati na wanawake! Nawapenda wanawake wote. Huwa napata msikitiko nimuonapo yeyote akiwa na unyonge.

Nitatimiza wajibu wako kama usipo timiza kikamilifu....
 
Usjal na sis tutatimiza wajibu wetu kwako
 
Hii mambo bana sometimes ni kujiendekeza tu sio kila mtu ni wa kuriwaza wengine wana majanga yao na stress zao za kutumbuliwa mnawazenga zenga ngoja mkafanywe visusio ndo mjifunze
Just joking
 
Kichwa hapo juu kinahusika sana. Nimeona tujadili hili sana ambalo nimekuwa nikilisikia na hivi jana nimeliishi.

Siku ya Jumapili, majira ya mchana saa 7 nilikuwa maeneo ya Ununio Beach....nikipata 2,3.
Ghafla akatokea bi mdada aliyeonekana akitokea maeneo ya Barabarani akielekea huku upande wa Beach. Alipofika hapa beach nilitarajia kuwa angesogea eneo la kaunta na kuagiza mbili tatu. Badala yake akielekea moja kwa moja kandokando ya bahari. Akiangalia bahari huku akionekana kama akiwa na Mawazo.

Sio siri kilichonivutia kwa huyu mdada ni uani kwake. Na katikati akiwa kama dondora. Bila kusahau pia alikuwa mkubwa ki umri.

Bila shaka akilini mwangu nilijua kuwa amekuwa ().... na si vinginevyo.
Nikaona isiwe tabu. Nikatoka eneo nililokuwa ninapata 2,3. Kujisogeza kwake! kwa ujasili wa ziada.

Baada ya maongezi mafupi, kile nililokuwa nawaza akilini ndilo lililo msibu (yaani ) . Ikabidi nitumie jitihada za ziada kumsogeza mezani ili apate kinywaji (hakutumia kilevi) ..... Hapo ndipo tukazungumza mengi kuhusu yeye hata ikafika hatua machozi yakawa yanamtoka. Nikatoa kitambaa mfukoni... (ili ajifute machozi), nikabadilisha gear ya maongezi na sasa tukawa tukazungumza mengine na kucheka kwa sana.

Maongezi na vicheko vilishika hatamu baina yetu. Ndani ya moyo wangu nikaridhika kwa kuweza kufanikiwa kumtoa katika hali ya mfadhaiko, huzuni na masikitiko na kumfanya mwanamke pekee mwenye fulaha kuliko yeyote pale beach.

Basi muda ukawa unawahi medali.
Akiwa anaonyesha utayari wa kurudi kwake.... Nikamuomba kuwa nitampeleka kwake lakini aniruhusi nipitie ghetto mara moja nikachukue baadhi ya vitu ambavyo nilikuwa na mpango wa kuvipipeleka Mwenge.

Basi tukapitia ghetto... Kufika nikaona asiondoke hivi hivi. Nikamshawishi tupate msosi wa jioni kabla hatuja ondoka.
Baada ya kula Nikaona nisimuache hivi hivi huyu mwanamke. Nikaona kuwa yanipasa kumpatia furaha isiyo ya kifani (Ultimate Happyness).

"Kilichotokea nisingependa kukielezea kwa maneno, Kila mtu anakijua"

Ila lengo kuu la huu uzi ni kuwajulisha wanaume wenzangu kuwa these weman are so vurnelable. Tunawajibu wa kuwalinda na kuwatunza. Hatupaswi kuwafanya wasiwe na furaha. Tusijaribu kukwepa majukumu.
Nilijikuta nikifanya majukumu ya mwanaume mwenzangu ambaye alishindwa kutimiza majukumu yake ipasavyo.
kilichoendelea nisingependa kuelezea!!!! Access ilikua granted
 
uzinzi dawa yake uzinifu tu,hakuna namna. unafurahia kumtongoza kahaba pale sinza,eti amekukubali..mambo mengine bhana....
 
Back
Top Bottom