nanga mstafu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2016
- 381
- 648
Sidhani kama uelewa wako uko sawasawa, kwani wanaojiuzulu kila siku hatuwaoni au hatutangaziwi na vyombo vya habari?Tutawatambuaje?
Hapana wakipata kura chache sana au kutopata kabisa watapitaje?....Hao ni wateule wa zone sizonje. Apite asipite ana nafasi yake
Sidhani kama umenielewa naongelea wabunge wengne wa upinzani watoogombea wakija kuomba kura tutawatambuaje kama hawanunuliki?Sidhani kama uelewa wako uko sawasawa, kwani wanaojiuzulu kila siku hatuwaoni au hatutangaziwi na vyombo vya habari?
Nyalandu, Mtulia, Moleli huwajui?Tutawatambuaje?
Sasa hapo umezungumzia ambao hawajahama au hawajawahi kuwa wabunge.Sidhani kama umenielewa naongelea wabunge wengne wa upinzani watoogombea wakija kuomba kura tutawatambuaje kama hawanunuliki?
Maelezo yangu yamejitosheleza kabisaSasa hapo umezungumzia ambao hawajahama au hawajawahi kuwa wabunge.
Hapa mada imelenga wale ambao wamewahi kuwa wabunge nawakajiuzulu.
Wabunge wa Chadema hawaaminiki hata na Chama chao wenyewe maana wanasaliti Chama chao na Chama chenyewe kinatangaza kuwa wamenunuliwa
Usiwapangie watu nini cha kufanya. Hujui kuishi kwenye demokrasia? Usitake kuleta udikteta hapa..Hii tabia yakususa Ubunge na kutaka tena Ubunge Watanzania tuipinge kwa nguvu zote#Azomewe jukwaan#Tumechoka kuchezewa
Sasaaa kama ndio mbunge lakini kutoka kwenye chama cha mafisadi na kutetea ufisadi na wakwepa kodi, ubunge huo utakuwa hauna maana yoyote. Lazima uwe kwenye chama kinachofanya kweli na uhalisia wa yale unayosimamia..kama ni kukemea rushwa kweli chama kinasimamia..sio kule kwingine wanaotetea watuhumiwa wa ufisadi ambao miaka nenda rudi walikuwa wakiwasema ni mafisadi eti leo gafla wamewasafisha...tafakariHii tabia yakususa Ubunge na kutaka tena Ubunge Watanzania tuipinge kwa nguvu zote#Azomewe jukwaan#Tumechoka kuchezewa