Tusiwachague Wabunge waliojiuzulu na kuhamia chama kingine wakitaka kugombea jimbo lile au lingine lolote

nanga mstafu

JF-Expert Member
Aug 12, 2016
381
647
Niwasii ndugu zangu tutakuwa hatujatumia akili kwa kiwango cha PhD eti mtu amejiuzulu Ubunge halafu arudi pale tumchague au agombee sehemu nyingine tumchague kama angekua na umuhimu wa kuendelea kuwatumikia asingekuwa na tamaa za kijinga
 
Sidhani kama uelewa wako uko sawasawa, kwani wanaojiuzulu kila siku hatuwaoni au hatutangaziwi na vyombo vya habari?
Sidhani kama umenielewa naongelea wabunge wengne wa upinzani watoogombea wakija kuomba kura tutawatambuaje kama hawanunuliki?
 
Wabunge wa Chadema hawaaminiki hata na Chama chao wenyewe maana wanasaliti Chama chao na Chama chenyewe kinatangaza kuwa wamenunuliwa
 
Sidhani kama umenielewa naongelea wabunge wengne wa upinzani watoogombea wakija kuomba kura tutawatambuaje kama hawanunuliki?
Sasa hapo umezungumzia ambao hawajahama au hawajawahi kuwa wabunge.

Hapa mada imelenga wale ambao wamewahi kuwa wabunge nawakajiuzulu.
 
Binafsi sidhani kama nitakuja kupiga kura tena kwa wanasiasa hawa wanaoangalia matumbo yao tunapotezeana muda tu.
 
Kwa Serikari Hii We Pgia Chama Unachotaka , Linda Kura , Weka Ma Wakala Ndugu Zako, Piga Kampeni, loga , Fanya Ufanyalo Ccm Ndo Watakayoshinda
 
Hii tabia yakususa Ubunge na kutaka tena Ubunge Watanzania tuipinge kwa nguvu zote#Azomewe jukwaan#Tumechoka kuchezewa
 
Ninamkumbuka mzee kingunge alisema huyu alistahili kuwa mnyampala wa Barabara na si vinginevyo sasa yametimia
 
Hii tabia yakususa Ubunge na kutaka tena Ubunge Watanzania tuipinge kwa nguvu zote#Azomewe jukwaan#Tumechoka kuchezewa
Sasaaa kama ndio mbunge lakini kutoka kwenye chama cha mafisadi na kutetea ufisadi na wakwepa kodi, ubunge huo utakuwa hauna maana yoyote. Lazima uwe kwenye chama kinachofanya kweli na uhalisia wa yale unayosimamia..kama ni kukemea rushwa kweli chama kinasimamia..sio kule kwingine wanaotetea watuhumiwa wa ufisadi ambao miaka nenda rudi walikuwa wakiwasema ni mafisadi eti leo gafla wamewasafisha...tafakari
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom