Joseph lebai JF-Expert Member Joined Jul 19, 2017 Posts 8,447 Reaction score 8,720 Feb 6, 2021 #121 Huenda aliyekata tamaa na maisha anafikiria kuna maisha baada ya kifo. Angalia watu wa ulimwengu wa tatu wanavyoamini maisha baada ya kifo. Ukimpiga kofi upande wa kushoto anakugeuzia na upande wa kulia akifikiria maisha ya mbinguni. Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
Huenda aliyekata tamaa na maisha anafikiria kuna maisha baada ya kifo. Angalia watu wa ulimwengu wa tatu wanavyoamini maisha baada ya kifo. Ukimpiga kofi upande wa kushoto anakugeuzia na upande wa kulia akifikiria maisha ya mbinguni. Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app