johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,150
Hapa tunakumbushana tu hakuna mjanja anayepatikana kule Kigoma Arusha, Mwanza au Lindi bali Wajanja wanapatikana katika jiji la Mzizima.
Pamoja na ujanja wao wote wana Mzizima walishindwa kudai Uhuru kutoka kwa Mwingereza ikabidi wamuombe mshamba mmoja kutoka bara aje aokoe jahazi.
Wajanja ndio wameliangamiza hili taifa......bora uwe mshamba mwenye kujitambua nchi itapaa kimaendeleo.
Maendeleo hayana vyama!