Tusisahau: Wajanja wa Mzizima walishindwa kudai Uhuru kwa mkoloni ikabidi wamwite mshamba mmoja aje awasaidie!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,512
141,240
Hapa tunakumbushana tu hakuna mjanja anayepatikana kule Kigoma Arusha, Mwanza au Lindi bali Wajanja wanapatikana katika jiji la Mzizima.

Pamoja na ujanja wao wote wana Mzizima walishindwa kudai Uhuru kutoka kwa Mwingereza ikabidi wamuombe mshamba mmoja kutoka bara aje aokoe jahazi.

Wajanja ndio wameliangamiza hili taifa......bora uwe mshamba mwenye kujitambua nchi itapaa kimaendeleo.

Maendeleo hayana vyama!
 
Arusha itoe kwenye huu ujinga wako ,wapo watu walienda Un kabla ya hao wa mzizima

Japhet Kirilo unamjua ?
Sasa Lema utasema ni mjanja?......au Ole milya ni mjanja?

Huyo Kirio ni mshamba kama Mkwawa wa Iringa ndio maana alijitambua!
 
Hapa tunakumbushana tu hakuna mjanja anayepatikana kule Kigoma Arusha, Mwanza au Lindi bali Wajanja wanapatikana katika jiji la Mzizima.

Pamoja na ujanja wao wote wana Mzizima walishindwa kudai Uhuru kutoka kwa Mwingereza ikabidi wamuombe mshamba mmoja kutoka bara aje aokoe jahazi.

Wajanja ndio wameliangamiza hili taifa......bora uwe mshamba mwenye kujitambua nchi itapaa kimaendeleo.

Maendeleo hayana vyama!
Wallah umenena, kunanguchiru wa manyovu kigoma naye alipata guts za kuwaita wenzake washamba.
Dash! Kigomaaa?
 
..huyu wa sasa hivi huwezi kumlinganisha na Mzanaki.

..Huyu hajui Kiingereza.

..vilevile hazungumzi Kiswahili fasaha.

..Mzanaki aliunganisha watu.

..huyu ni mbaguzi, mkatili, na anawagawa watu.
 
Halafu baada ya kupewa dhamana akawasaliti wananchi kwa kujimbilikizia madaraka yote mpaka bunge na mahakama yakawa butu, yaani mpaka anaondoka madarakani alishindwa kuweka katiba ya wananchi ambalo ndio lengo la kumtoa mkoloni ili wananchi wawe na sauti na si kubadilisha koloni kama alivyofanya yeye, kumtoa kumkoloni mweupe na kumuingiza mkoloni mweusi.

Thanks God shimo alilowachimbia wenzake na yeye aliliingia, pale alipo anza kuilalamikia katiba aliyoitengeza yeye mwenyewe ili aonekane mungu mtu kwa kusema akiingia kichaa, pale alipomlalamikia mkapa kwanini anaivunja NBC wakati haina tawi hata kenya.

Kwa hiyo ni kweli wazee wa Dar walimkalibisha nia ni kuongeza nguvu mapambano, ila mwishoni akaishia ku betray wananchi i hope alitubu kabla ya katangulia mbele ya haki, acheni kumpa sifa za kijinga, watz hawakuingia vitani kama wenzetu, ila alichangiwa nauli kwenda huko kutuwakilisha.
 
Kwanini hiyo nauli hamkumchangia Sykes?!!
 
Mjanja (with high exposure but low IQ) na mshamba (with low exposure but high IQ), given an option with whom your cognitive judgement would dwell on.
 
Mkuu walioenda UN ni wa Arusha au Kilimanjaro?
Japhet Kirilo ni wa Arusha mkuu alienda UN mwaka 1952 baada ya ule mgogoro wa ardhi uliotokea mwaka 1938

Hapo akiwa na Ralph Bunche mmoja wa viongozi wa kikoloni wakati huo
Screenshot_20190718-221430_1.jpeg
 
Huyu jamaa kweli ni mshamba sana, amesema anataka kuwaambia viongozi wa Misri waje kuna uwanja wa ndege Kongwa ambako viongozi wao walikuwa wana utumia kuja kuonana na majeshi yao wakati wanadai uhuru wa nchi yao? Misri, KONGWA? Yaani mshamba anatuambia Tanzania ilipata uhuru kabla ya Misri? Dah1 ushamba kweli zigo la mavi..
 
Hapa tunakumbushana tu hakuna mjanja anayepatikana kule Kigoma Arusha, Mwanza au Lindi bali Wajanja wanapatikana katika jiji la Mzizima.

Pamoja na ujanja wao wote wana Mzizima walishindwa kudai Uhuru kutoka kwa Mwingereza ikabidi wamuombe mshamba mmoja kutoka bara aje aokoe jahazi.

Wajanja ndio wameliangamiza hili taifa......bora uwe mshamba mwenye kujitambua nchi itapaa kimaendeleo.

Maendeleo hayana vyama!
Nchi imepaa vipi kimaendeleo embu fafanua mkuu? au unaongelea vile viwanda 1000 kila mkoa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom