Wakuu wakati tunasubilia mikataba ya madini ipelekwe bungeni pia mikataba ya ununuzi wa ndege iwekwe wazi na pia ule wa ujenzi wa Reli mpya nao pia uwekwe hazarani
Kuna vitu ukivitaja mbuzi wote wanalikimbia zizi, vitu vyenyewe ni kama hivi sasa.
Huwezi kutamani kuonekana muadilifu upande A huku upande B, C, D, E ni mchafu unanuka.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.