Tusisahau na Mikataba ya Ununuzi wa ndege na Ujenzi wa SGR

MURUSI

JF-Expert Member
Jun 25, 2013
4,482
8,698
Wakuu wakati tunasubilia mikataba ya madini ipelekwe bungeni pia mikataba ya ununuzi wa ndege iwekwe wazi na pia ule wa ujenzi wa Reli mpya nao pia uwekwe hazarani
 
Ongezea na ule mkataba wa kununua umeme wa maji toka Ethiopia TrumpRapa alisaini juzikati japo alituahidi sisi ndio matajiri tutauza umeme nje!
 
Kwenye ndege jamaa atajifanya hajui

Kwenye MV Dar es salaam
 
Ongezea na ule mkataba wa kununua umeme wa maji toka Ethiopia TrumpRapa alisaini juzikati japo alituahidi sisi ndio matajiri tutauza umeme nje!

Mkuu..
Hiii "TrumpRapa" imenifanya nipaliwe na majii...
Hahahahaaa
 
Kuna vitu ukivitaja mbuzi wote wanalikimbia zizi, vitu vyenyewe ni kama hivi sasa.
Huwezi kutamani kuonekana muadilifu upande A huku upande B, C, D, E ni mchafu unanuka.
 
Back
Top Bottom