Tusisahau Katiba mpya Watanzania

Tusisahau Katiba mpya Watanzania

Petro E. Mselewa

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2012
Posts
10,346
Reaction score
26,138
Haya masuala ya tezi dume, PAC na Escrow,Utafiti wa Twaweza na kadhalika yasitusahaulishe. Mbele yetu kuna suala la Katiba mpya,yaani kura ya maoni. Kura ya Maoni itatanguliwa na kampeni juu ya nini wananchi waamue kuhusu Katiba Inayopendekezwa. Muda wa kuanza kutoa elimu juu ya nini hasa kimo kwenye Katiba Inayopendekezwa (si kampeni) ndio huu. Tusisahau watanzania wenzangu.

Nawasilisha.
 
Thanks mkuu, tusisahau pia kumuombea Rais wetu apone haraka!
 
Nimekudharau sana, huna utu wala adabu! Kufanyia dhihaka ugonjwa wa binadamu mwenzio ni kipimo tosha kuwa hujafundwa!

Wapi ameonesha kuwa amedharau.....mume wako akiumwa huwa hauendi kazini?
 
Nakuona ni mtu wa kiwango cha chini saaaaaaaaaaaana!. Kiwango chako ndio huwa wanahangaika na masuala madogo yasiyo na maana kwa kuwa ndiyo saizi yao. Pole aiseeeeee.

Kaaazi kweli kweli!
 
Nakuona ni mtu wa kiwango cha chini saaaaaaaaaaaana!. Kiwango chako ndio huwa wanahangaika na masuala madogo yasiyo na maana kwa kuwa ndiyo saizi yao. Pole aiseeeeee.
Masuala gani madogo mkuu?
 
Back
Top Bottom