Tusipende kupuuza simu tunazopigiwa

Tusipende kupuuza simu tunazopigiwa

Burke

Member
Joined
May 12, 2021
Posts
27
Reaction score
42
Habari za asubuhi wana JF,

Ni siku nyingine tena basi tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu endapo amekupa kibali cha kuiona tena siku ya leo.

Nina jambo nahitaji kushirikiana nanyi kwa mawazo katika kukumbushana pia kwani nimeliona mara nyingi kwa watu wa karibu na hata kunikuta mimi binafsi.

Kama utangulizi wa habari hii unavyojieleza juu kabisa kwenye kichwa cha mada hii ni "tusipende kupuuza simu tunazopigiwa" Nimeamua kulileta hili kwenu kwani ninaamini kwa namna moja au nyingine tumeshakutana na mazingira fulani fulani katika utafutaji wa maisha au katika mazingira ya kazi/shughuli zetu za kimaisha za kila siku hutokea wakati mwingine tunapigiwa simu na namba ngeni kupitia simu zetu za mikononi lakini inatokea tunaogopa kupokea simu au kupuuza kabisa nikiwa na maana hata ukikuta missed call huchukui jukumu la kupiga tena ile namba kujua simu ile ilikuwa inahusu nini hasa.

Kwakweli hii tabia sio nzuri sana kwa namna moja au nyingine kwani kuna baadhi ya watu wamejikuta wakipoteza nafasi za kazi au kukosa taarifa fulani za msingi sana ambazo alipaswa kuzipata mapema.

Nishauri pia hata kama imetokea umepoteza mawasiliano yako ya awali ambayo watu wengi na ndugu zako ndio wameyazoea basi unapopata mawasiliano mapya wajulishe ndugu, jamaa, na marafiki maana kuna michongo unaweza kuikosa kwasababu tu ya kutokupatikana kwenye simu.

Sote tunaamini fika ya kuwa kwa dunia ya sasa ilipofikia teknolojia imerahisisha sana baadhi ya shughuli na mfumo mzima wa maisha ya binadamu hivyo kuna baadhi ya vitu kwa asilimia kubwa vinafanyika kimtandao na simu au computer ni mojawapo ya vifaa vya mawasiliano vinavyotumika sana.

Mfano kuanzia unapotafuta kazi tangazo la ajira unalipata kupitia mfumo wa mawasiliano kama simu yako au computer yako mpaka unaomba ajira utatumia vitu hivyo hivyo na inaenda hivyo hivyo mpaka unaitwa kwenye usaili inawezekana ukapigiwa simu au ukatumiwa email sasa usipopatikana kote huko inakuwa ni shida.

Nimetolea mifano hiyo lakini zaidi sana naomba nikazie kwa wale ambao huwa tunaogopa kupokea simu zetu tunapoona tunapigiwa na namba ngeni, hata kama unadaiwa wewe pokea tu hujui ni nani anakutafuta.

Ni haya tu kwa uchache ndugu zangu,
Na ifanyike siku njema kwenu!
🙏
 
Habari za asubuhi wana JF

Asante mkuu ila sio sisi ni madeni mkuu
 
Asante mkuu ila sio sisi ni madeni mkuu
Ni kweli mkuu ila kuna kipindi kweli unakuta una mchongo unasikilizia wa kazi/pesa na wakati huohuo unadaiwa, sasa ukiona simu inaita tena namba ngeni unasita kupokea simu maana hujui ni ule mchongo umetiki au ni yale madeni wanadai. Hapo inakuwaje mkuu?
 
Ni kweli mkuu ila kuna kipindi kweli unakuta una mchongo unasikilizia wa kazi/pesa na wakati huohuo unadaiwa, sasa ukiona simu inaita tena namba ngeni unasita kupokea simu maana hujui ni ule mchongo umetiki au ni yale madeni wanadai. Hapo inakuwaje mkuu

Ni kweli mkuu ila kuna kipindi kweli unakuta una mchongo unasikilizia wa kazi/pesa na wakati huohuo unadaiwa, sasa ukiona simu inaita tena namba ngeni unasita kupokea simu maana hujui ni ule mchongo umetiki au ni yale madeni wanadai. Hapo inakuwaje mkuu?
Maana kuna watu wengine ni wazito kutuma sms kwahiyo huwezi kubaini yupi ni yupi
 
Bossi..angalizo..simu za muhimu zote huwa zinapigwa mara tatu..utapigiwa mara ya kwanzA..mara ya pili na tatu..so Kama namba ni geni na hutaki usumbufu..subiri iite mara ya kwanzA..pili..ya tatu pokes..

Wengine ni viskulukwinyo..wasumbufu na washamba wa simu
 
nafikiri kwa namba ngeni huwezi kumpigi tu mtu from no where, haijakaa vizuri tuma kwanza ujumbe "Naweza kukupigia?", Wengine wala sio madeni ila ni kuepuka usumbufu mtu anakupigia simu saa 7 usiku alafu anasema nilikuwa nakusalimia
 
Hakika! Hata mimi huwa sipigi simu zaidi ya mara tatu na mpaka inafika mara ya tatu basi nilishakutumia na sms angalau utambue ni nani anakutafuta, shida ni kwamba kuna watu huwa wazito sana kumtumia mtu hata sms basi.

Labda shida huja zaidi kwa hao viskulukwinyo sasa 😌
 
Hajawahi huyu, hajui pia ile hali ya kukosa usingizi, unadaiwa mkopo huku unauguliwa huku unaitwa shuleni kwa mtoto.

Everyday is Saturday............................... 😎
😁 Punguza makasiriko mkuu,
Ila nimekuelewa vema,...
 
nafikiri kwa namba ngeni huwezi kumpigi tu mtu from no where, haijakaa vizuri tuma kwanza ujumbe "Naweza kukupigia?", Wengine wala sio madeni ila ni kuepuka usumbufu mtu anakupigia simu saa 7 usiku alafu anasema nilikuwa nakusalimia
Nafikiri kuna suala la muda pia hiyo simu unayopigiwa lakini simu za masuala ya kazi/michongo ya kimaisha hatutarajii mtu akutafute saa 7 au 8 usiku.
Nazungumzia zaidi zile ambazo hutujia muda rafiki tu
 
Tukumbuke pia kuna watu wengine ni wazito sana kutuma hata sms
 
Habari za asubuhi wana JF
Ni siku nyingine tena basi tuna kila sababu ya kumshukuru Mwenyezi Mungu endapo amekupa kibali cha kuiona tena siku ya leo.

Nina jambo nahitaji kushirikiana nanyi kwa mawazo katika kukumbushana pia kwani nimeliona mara nyingi kwa watu wa karibu na hata kunikuta mimi binafsi.

Kama utangulizi wa habari hii unavyojieleza juu kabisa kwenye kichwa cha mada hii ni "tusipende kupuuza simu tunazopigiwa" Nimeamua kulileta hili kwenu kwani ninaamini kwa namna moja au nyingine tumeshakutana na mazingira fulani fulani katika utafutaji wa maisha au katika mazingira ya kazi/shughuli zetu za kimaisha za kila siku hutokea wakati mwingine tunapigiwa simu na namba ngeni kupitia simu zetu za mikononi lakini inatokea tunaogopa kupokea simu au kupuuza kabisa nikiwa na maana hata ukikuta missed call huchukui jukumu la kupiga tena ile namba kujua simu ile ilikuwa inahusu nini hasa.

Kwakweli hii tabia sio nzuri sana kwa namna moja au nyingine kwani kuna baadhi ya watu wamejikuta wakipoteza nafasi za kazi au kukosa taarifa fulani za msingi sana ambazo alipaswa kuzipata mapema.

Nishauri pia hata kama imetokea umepoteza mawasiliano yako ya awali ambayo watu wengi na ndugu zako ndio wameyazoea basi unapopata mawasiliano mapya wajulishe ndugu, jamaa, na marafiki maana kuna michongo unaweza kuikosa kwasababu tu ya kutokupatikana kwenye simu.

Sote tunaamini fika ya kuwa kwa dunia ya sasa ilipofikia teknolojia imerahisisha sana baadhi ya shughuli na mfumo mzima wa maisha ya binadamu hivyo kuna baadhi ya vitu kwa asilimia kubwa vinafanyika kimtandao na simu au computer ni mojawapo ya vifaa vya mawasiliano vinavyotumika sana.

Mfano kuanzia unapotafuta kazi tangazo la ajira unalipata kupitia mfumo wa mawasiliano kama simu yako au computer yako mpaka unaomba ajira utatumia vitu hivyo hivyo na inaenda hivyo hivyo mpaka unaitwa kwenye usaili inawezekana ukapigiwa simu au ukatumiwa email sasa usipopatikana kote huko inakuwa ni shida.

Nimetolea mifano hiyo lakini zaidi sana naomba nikazie kwa wale ambao huwa tunaogopa kupokea simu zetu tunapoona tunapigiwa na namba ngeni, hata kama unadaiwa wewe pokea tu hujui ni nani anakutafuta.

Ni haya tu kwa uchache ndugu zangu,
Na ifanyike siku njema kwenu!
🙏
Wewe utakuwa baba mkwe tu Mana umenipigia Leo mapema na sijapokea
 
Asante!
 
Unashangaa simu inaingia, unaipuuzia! Kumbe ni ya Uteuzi wa Ukuu wa Wilaya Hai kwenda kuchukua nafasi ya yule Jambazi Sugu!
 
Nilikuwa nadaiwa m1 na jamaa mmoja .na nikawa najitahidi kumtunzia pesa yake ili ifike lakin matatizo yakawa hayaishi.nikawa napigiwa cm sipokei nikijua ni yeye.siku moja nikakutana na rafiki yangu akaniambia mbona hukuwa unapokea cm,nikamwambia ninadeni.akaniambia kazi niliyokuwa niipate niya m 9.iliniuma sana.tangu hapo sikutaka madeni tena maana yanakunyima Uhuru wa kupokea baadhi ya cm ukijua ni mdeni wako kumbe ni pesa hyo.
 
Back
Top Bottom