Hayo yote yalitokana na katiba ya kuwapa watawala nguvu kuwazidi wananchiRais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.
Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.
Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.
Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.
Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.
Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.
Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.
Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.
Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.
Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.
Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.
Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.
Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.
Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
mkuu, topic yako ni kama kuwaaminisha watu wasifie takataka na vitu vingine visivyokuwa na tija. kumradhi kwa reply yangu ya kwanza...maybe nimekukwaza, lakini thread yako na contents zake zinatia hasira. kwa kifupi, Magufuli ni mwizi (Fisadi) dikteta, ana chuki kubwa sana na wanaomkosoa, ana wivu sana pale ukimzidi, ana roho ya kwa nini, na bora hata iddi amini kuliko jamaa yako huyo. Time will tell, ila atakuja kuitumbukiza Tanzania Shimoni! just stay health and witness the wonders! Poor Tanzania...Jibu hoja achana na mleta hoja
Usiniambie mkuu!! Pamoja na figisu za akina mGambo bado chadema inapeta??Kwa yalotokea leo boma mbuzi naamini kesho hakutakucha bila tamko khs yale mafuriko kutoka kwa nywele nyeupe
So far anafanya vyema sana hayo mengine ni wishes zako tumkuu, topic yako ni kama kuwaaminisha watu wasifie takataka na vitu vingine visivyokuwa na tija. kumradhi kwa reply yangu ya kwanza...maybe nimekukwaza, lakini thread yako na contents zake zinatia hasira. kwa kifupi, Magufuli ni mwizi (Fisadi) dikteta, ana chuki kubwa sana na wanaomkosoa, ana wivu sana pale ukimzidi, ana roho ya kwa nini, na bora hata iddi amini kuliko jamaa yako huyo. Time will tell, ila atakuja kuitumbukiza Tanzania Shimoni! just stay health and witness the wonders! Poor Tanzania...
Haya mkuu! endelea na akili hizo hizoSo far anafanya vyema sana hayo mengine ni wishes zako tu
Chama gani anachotokea magufuli? Uchafu wooote wa miaka 56 ya uhuru ulilelewa na chama gani? Magufuli ni part and parcel ya uchafu wa ccm hawezi kujitenga nao.Rais Magufuli amekuja kama mkombozi wa pili wa Taifa hili la Tanzania.
Hajaja kutengua torati bali kuielezea na kuitekeleza torati kwa lengo lile lile ambalo Mwenyezi Mungu alilipanga kwa nchi yetu.
Taifa letu likifikia mahali patakatifu kwa wezi,mafisadi,matajiri wanyonyaji na wanaojali maslahi binafsi.
Taifa liliingia kwenye mfumo wa kibepari pasipo kujipanga na matokeo yake ni kuiga kila kitu cha mabepari bila mpangilio au lengo kama nchi.
Taifa lilikubali kuingia kwenye mfumo mpya wa unyonyaji unaofanania na utumwa au ukoloni wa enzi zile.
Tanzania yetu ilibakiza hatua chache sana kuruhusu ushoga,biashara za miili na mabaya ya namna hii ili kukidhi matakwa ya watawala wa kikoloni.
Baada ya Uhuru tulijitahidi kuweka mfumo wa uendeshaji wa nchi yetu lakini matakwa ya wakoloni yalituzidi nguvu na hatimaye tukaamua kuyakubali kama sehemu ya mfumo wetu...yaani tukaacha njia bora za kufuata na tulizojipangia kuzifuata kwa ustawi wa Taifa letu huru.
Wakati na punde baada ya uhuru tulijiwekea malengo na mikakati mizuri kwa ustawi wa jamii yetu lakini preassure ya magharibi ilituzidi.
Hakuna aliyejali au kuthubutu kuturudisha kwenye misingi ya malengo yetu ya kudai uhuru na kuuishi uhuru huo.
Leo hii tumempata Rais Mzalendo na aliyelelewa vyema kusimamia tunu za Taifa ...Rais Magufuli.
Rais Magufuli anaturudisha nyuma lakini katika kasi na muktadha wa kisasa kabisa.
Najaribu kuwaza Taifa hili lingekuwa wapi kama tusingempata Rais kama Magufuli.
Hii ni era ya Magufuli kwa manufaa ya wanyonge wengi nchini Tanzania.
Wanaopinga wapo na watakuwepo na wanatakiwa kupuuzwa.
uchumi unaanguka, poverty is escalating at unimaginable speed, katiba inavunjwa kila siku, nepotism, diplomasia mbaya na majirani zetu etc...na bado unasema eti anafanya poa? nimeamini wanavyotuzungumzia jirani zetu wako sahihi...So far anafanya vyema sana hayo mengine ni wishes zako tu
Ukiwekwa kifungoni tena itapendeza.Labda Taifa la Chato maana wamefisadi uwanja wa ndenge wamefisadi Taa za barabara ingawa PUNDA ndio wanaovuka hakuna mwananchi mwenye gari zaidi ya jamaa yule, na sasa wanataka kufisadi Hospital kubwa ingawa wananchi wake wako masikini.
Swissme