Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
Kulinganisha vijana wa CCM na upinzania ni kujionea. Ni nafasi gani katika upinzani inafanana na ukuu wa wilaya? Siasa za upinzani ni siasa za mapambano na za kujinyima fursa za kufaidi wakati zile za CCM ni za fursa za kupata kazi na fursa za kimamlaka. Inahitaji bidii kuvutia vijana waliosoma kujiunga na upinzani wakati vijana wa CCM wanakesha wakijinadi huko ccm ili wapate fursa za kuteuliwa. Tafadhali sana tusilinganishe njugu na mawe!