ndugu, watanzania wenzangu mie nadhani si busara tena kuliongelea swala hili la al shabab. Nasema hivyo maana tazari sasa kila kitu kinahusishwa na hawa jamaa. Mfano ni maandamano na mechi ya yanga na simba. Angalizo langu ni kuwa,nionavyo mimi kwa kuhusisha kundi hili na mambo yeti ya kitaifa ni hatari kwa usalama wa nchi yetu. Hii ni kwakua maadui zetu na hata ataifa makubwa yanaweza tumia mwanya huu kuleta wavamizi na kisingizio kuwa na hawa jamaa, ambao hata sie tumeshaanza kukaribisha hoja hiyo.
Polisi wanalipwa kwa kazi ya kulinda raia ndo wliosema kuna al shabab na bado hawajatahadharisha watakachfanya j3 asubuhi kwenye daraja la salander ,magomeni na njia ya tazara habari hizo wanazo ila wanabishana na hazina ununuzi wa vifaa vya utambuzi wa mabomu kwani hazina ilishatoa pesa kununua magari ya upupu ,ndo ubishi uliopo kwani jamaa wamepanga kuvunja njia hizi za mawasiliano wanajua zinapitisha malighafi ya madini kwenda ulaya kwani sio ya kuficha walipandikiza mgomo ticks waone idadi ya makontena yanayosafirisha kwa siku utajiri wamepata data sasa wanaanza makusanyo hapahapabongo nchikavu
note:al qaida ilianza vivyo hivyo sahivi ndio kimekua chanzo cha kuvuruga amani nchi nyingi hasa za africa.
Ni mawazo tu be careful