The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,003
- 3,269
Hivi hakuna neno la kiswahili la dinosaur? Ni zimwi au kitu gani?
Maneno mubashara....Samahani kama nitakuudhi Mzee mayala,
kwa mda mrefu umekua member mwenye heshima hapa jamvini,nakumbuka Mara ya mwisho ulivyokua kwenye mkutano wa waadishi wa habari pale ikulu mh rais alionekana kama alikufahamu kabla ya pale either kwa sababu ya maandiko yako, katika platforms tofauti,tangu siku hiyo, ama kwa uoga wa kufahamika ama kwa kupenda kupewa vyeo kama kawaida yenu waxhumia tumbo umebadilika na kuwa mtu wa ovyo sana..(coward of the country)
Kama kweli wewe Ni mwandishi makini kwanini unashindwa Ku counter maandiko ya waandishi wenzio na badala yake unacounter gazeti lenyewe au mwandishi wa hyo makala,kwa akili yako unaona rais umaemtetea yuko sahihi jinsi anavyotreat upinzani!?jinsi magazeti yanavyofungiwa kisa anasemwa,kwanini asiwe dinosaurs wa Dodoma kwa upuuzi anaoufanya!?unataka na wao wawe kimya au wasifie kama wewe kwani wao wanahitaji vyeo vya kupewa kama wewe!? Kama Maisha yamekushinda mjini hapa rudi kwenu magu Ardhi bado ipo ongea na mkuu wa wilaya akumengee kipande ukalime,watu wanauwa,watu wanapigwa risasi ovyoovyo bado unatetea?hata kama yeye hausika bado hakwepi kuwa responsible,he is the head of state.
Msitake nchi mzima tuonekane wapuuzi kwa ujinga wenu!!
Nadhani wengi hamumuelewi Pascal Mayalla, huyu bwana ni kama Mange Kimambi wa Instagram. Anafahamu kuwa ni maarufu na kila uzi atakao leta JF utasomwa na watu wengi hivyo hata nyuzi zingine zilizoletwa na wachangiaji wasio na mvuto JF na zina mantiki makubwa ndani yake basi Pasco anauvuta uzi huo na kuonyesha kuukandia (ingawa anauunga mkono) kiaina kisha anaweka mezani tuhangaike nao.Pasco katika mbio za kuusaka UDC
Wanabodi,
Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na kumalizia kwa kumtukana a bullheaded socialist!. Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.
Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist
Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
Hitimisho.
- Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
- Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
- Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
- Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
- Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.
Paskali
Nitashangaa kama Paschal asipokamatwa kwa uchochezi.
Pascal kuna mengine yana ukweli. Unajua kuna mambo mengi sana ambayo rais wetu ndio anaesababisha. Kwanini hataki wananchi wawe huru katka kumkosoa, kwanini anazuia mikutano ya vyama vy upinzani, kwanini watendaji wake wanazuia vyama vya upinzani kufanya maendeleo kwwnye majimbo wanazoongoza. Kwa kweli rais wetu anayo makosa mengi na ndio maana hata wananchi hawawezi kumtetea yaani Magufuli amechokwa na kila moja. Wanaompenda ni wale wanaomlamba mikono na wanaofaidika na rushwa. Lakini kati ya raia 10 ukimuuliza je unampenda Magufuli 9 watasema hapana. Magufuli anatupeleka pabaya. Magufuli anatengeneza chuki, ukabila ambayo itawaua watanzaniaWanabodi,
Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na kumalizia kwa kumtukana a bullheaded socialist!. Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.
Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist
Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
Hitimisho.
- Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
- Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
- Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
- Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
- Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.
Paskali
Asante kaka kwa kutujuvya kwamba ,ulimwengu umeshakuwa unayatambua yanayoendelea Tanzania,mwanakwetu wa kabanga,nimekutambua,hongera,umewajulisha wana mtandao,mimi nauliza tu,unataka tufanye nini?.Wanabodi,
Uongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwisho wake hugeuka ukweli, baada ya kutokukemea magazeti ya nje kuandika uongo kumhusu rais wetu na kumuita majina ya ajabu ajabu, huku sisi na serikali yetu tumenyamaza , sasa ni zamu ya jarida la The Economist, limemtukana rais wetu "dinasauria wa Dodoma" kisha wakamuita a bad president na kumalizia kwa kumtukana a bullheaded socialist!. Pia kumsingizia mambo mengi ya uongo katika toleo lake la hivi karibuni kama nilivyonukuu hapa.
Wakuu Mwanakwetu na Kibanga, kwanza asanteni kwa bandiko hili, pili
tusikubali uwongo huu wa gazeti la The Economist
Uongo Mbalimbali ambazo Hazijakanushwa.
Hi ni baadhi ya uongo mbalimbali ambazo hazijakanushwa hadi leo ambazo mimi kama Mtanzania Mzalendo, kazi yangu ni kushauri tuu.
Hitimisho.
- Rais wetu alipotuhumiwa kuhongwa suti nilipinga na kushauri.Tuhuma za Rais wetu kuhongwa suti: Marekani ituombe radhi ...
- Hata kelele kuhusu udikikiteta wa Magufuli ziliposhika kasi nilishauriUdikiteta: Uongo Ukisemwa Sana na Kuachwa Bila Kukanushwa Hugeuka ...
- Magufuli aliposemwa vibaya na SABC, nilishauriSerikali ikanushe uongo huu wa SABC kumsema vibaya Rais wetu ...
- Rais Magufuli aliposemwa vibaya kuhusu Mimba za utotoni, pia nilishauriJe, Huku Sio Kudhalilishwa Kwa Rais Wetu na Media za Nje?. Jee ...
- Juzi kati hapa serikali yetu ilipoitwa Sinister na Authoritarian, pia nilishauri
Serikali yetu Kuitwa "Sinister" na "Authoritarian": Je, ni kweli ...
Uongo ukisemwa sana sana na kuachwa bila kukanushwa, mwisho wake, sio tuu utaonekana kama ni ukweli, bali una hatari ya kugeuka kuwa ukweli kwa sababu kauli huumba!.
Natoa wito kwa Watanzania wote wazalendo wa kweli wa nchi hii, tusikubali rais wetu kutukanwa. kudhalilishwa na kusingiziwa uongo huku sisi wazalendo tupo na tumenyamaza tuu kimya, bila kufanya lolote. Tusikubali.
Paskali
Yule Dr. wetu wa kufungia magazeti hawezi kulifungia hili?Iko haja ya Ubalozi wetu kupewa ufafanuzi