Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,101
Unaibiwa mkuu shituka kama ni hivyo jua unat@mbew@.Kwanza nianze kufuta ile kauli ya kusema ili upendwe lazima utoe pesa kwa fujo!bila shaka wanaume wengi wanaopenda kuhonga wana sifa hizi
1;Madomo zege
2;Hawajiamini
3;Wapo rafurafu
4;Ni ulimbukeni
5;Watu wenye papara
6;wasiokuwa na mvuto wa chochote
7;Vibamia
8;wasiojiweza kitandani
9:Wanuka midomo na miguu
N:B Mimi naishi Dunia hii hii na sijawahi kuhonga pesa yenye thamani ya 15000tsh na ninamiliki watoto wazuri tu yaani bila stress!
Huu ndio ukweli mtupu.Kwanza nianze kufuta ile kauli ya kusema ili upendwe lazima utoe pesa kwa fujo!bila shaka wanaume wengi wanaopenda kuhonga wana sifa hizi
1;Madomo zege
2;Hawajiamini
3;Wapo rafurafu
4;Ni ulimbukeni
5;Watu wenye papara
6;wasiokuwa na mvuto wa chochote
7;Vibamia
8;wasiojiweza kitandani
9:Wanuka midomo na miguu
N:B Mimi naishi Dunia hii hii na sijawahi kuhonga pesa yenye thamani ya 15000tsh na ninamiliki watoto wazuri tu yaani bila stress!
umehudumiaKama nikimpa kwaajiri ya matumizi yake au akiniomba nikampa napo nimehonga?.
Ndio kuhonga huko mkuuKama nikimpa kwaajiri ya matumizi yake au akiniomba nikampa napo nimehonga?.
Kwanza nianze kufuta ile kauli ya kusema ili upendwe lazima utoe pesa kwa fujo!bila shaka wanaume wengi wanaopenda kuhonga wana sifa hizi
1;Madomo zege
2;Hawajiamini
3;Wapo rafurafu
4;Ni ulimbukeni
5;Watu wenye papara
6;wasiokuwa na mvuto wa chochote
7;Vibamia
8;wasiojiweza kitandani
9:Wanuka midomo na miguu
N:B Mimi naishi Dunia hii hii na sijawahi kuhonga pesa yenye thamani ya 15000tsh na ninamiliki watoto wazuri tu yaani bila stress!
Kwenu wanafuata pesa huku wanafuata mtarimbo na shoo za kibabe tuUnaibiwa mkuu shituka kama ni hivyo jua unat@mbew@.
UNAWEZA KUKUTA KIBAMIA pia..Inamaana pogba ni domo zege, yuko rough au ni limbukeni?
Labda mademu wa Tandika na Vingunguti.Kwenu wanafuata pesa huku wanafuata mtarimbo na shoo za kibabe tu
ππ Au govinderUNAWEZA KUKUTA KIBAMIA pia..
watu wanatumia hela as a WEAPON
sas je.. ukiona mtu anatoa hela kiboya boya tu ujue ana mapungufu fulani yasiyo ya kawaida kama si KICHWANI basi katika viungo vyake vya uzaziππ Au govinder