Tusije rudia Makosa! VAR ikiingia Tanzania, kiswahili chake kitakuwa nini?

Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tu
Siyo jibu la kistaarabu. VAR ni Video Assistant Referee ni teknolojia inayotumika kuhakiki baadhi ya matukio yanayotokea kwenye uwanja wa mpira endapo kumetokea utata. Mfano endapo upande mmoja haujaridhika kuhusu kuamuru penati.
 
VAR inasaidia Mondrich kafunga goli kwa macho ya Refa kalikubali VAR ilipotumika wakalikataa ni off side... Bongo ambako hawana hata rekodi za kadi za njano za wachezaji hata hao viongozi wa TFF hawafikirii kuwa nayo...
 
yalah!umetaja smirnof mm mate yanakimbizana
I seee..... wewe mrembo una ugonjwa kama wangu.... ila mimi tofauti kidogo.... Mi nikiona Maandishi PEPSI ama Frigde la Pespi..... liwe na ule unyevu nyevu.... I seee....
 
Back
Top Bottom