Bila Shaka wewe ni mwelimishaji mzuri
Zerotutaiita ARV tu mkuu!
Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tu
Video Assistance Referee
Sawa Mkuu! BTW, Mkuu wewe ni Mpenzi wa nini?
Siyo jibu la kistaarabu. VAR ni Video Assistant Referee ni teknolojia inayotumika kuhakiki baadhi ya matukio yanayotokea kwenye uwanja wa mpira endapo kumetokea utata. Mfano endapo upande mmoja haujaridhika kuhusu kuamuru penati.Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tu
starehe yake ni ile pombe yenye nywele....Bila shaka wewe sio mpenz wa mpira,vile vile hata maji pia,starehe yako itakuwa wanawake tu
Kweli starehe yangu wanawake na smirnoff Mkuu
tutaiita ARV tu mkuu!
yalah!umetaja smirnof mm mate yanakimbizana
Itakuwa unapenda wanawake wasiopenda soka!