kama kigezo ni upenzi wanawake wazuri wasingeachwa na ndoa kuvunjika. wewe kaa na mawazo yako usiwalazimishe watu kuchagua tar 25 inakuja utashuhudia mwenyewe.Lowassa ni kipenzi cha watanzania,mchapakazi,si mla rushwa,anapendwa na kila mtanzania,mchamungu na ana kila sifa ya kuwa rais.Watanzania tusifanye makosa kwa kutomchagua Lowassa,nje ya Lowassa hakuna rais bora
Lowassa ni kipenzi cha watanzania,mchapakazi,si mla rushwa,anapendwa na kila mtanzania,mchamungu na ana kila sifa ya kuwa rais.Watanzania tusifanye makosa kwa kutomchagua Lowassa,nje ya Lowassa hakuna rais bora
lowassa ni kipenzi cha watanzania,mchapakazi,si mla rushwa,anapendwa na kila mtanzania,mchamungu na ana kila sifa ya kuwa rais.watanzania tusifanye makosa kwa kutomchagua lowassa,nje ya lowassa hakuna rais bora
Ni kipenzi cha baadhi ya watanzania lakini si wote,na si kweli nje ya lowassa hakuna rais bora ni wa kawaida tu wala tusijipe matumaini makubwa kuwa chini ya utawala wake anaweza kufanya miujiza
BIBLIA inasema amelaaaniwa mtu asemaye mtu mwovu ni mwema
Hakuna mwanadamu anayeweza kumwita mwenzake mwovu ni Mungu tu ndiye mwenye huo uwezo kwa sababu yeye ni mtakatifu.Soma Matendo ya mitume 14:4
SIMCHAGUI LOWASSA, NA WATANZANIA WENGI NDO WESHAAMUA HIVYO. TUTAMCHAGUA MAGUFULI SABABU NI MCHAPAKAZI NA TUMEONA KWA MACHO YETU KUWA NI MCHAPAKAZI, WATANZANIA TUMESHASEMA KWA SAUTI YA UJUMLA KUWA HATUTAKI MAFISADI MA WANAFIKI.Lowassa ni kipenzi cha watanzania,mchapakazi,si mla rushwa,anapendwa na kila mtanzania,mchamungu na ana kila sifa ya kuwa rais.Watanzania tusifanye makosa kwa kutomchagua Lowassa,nje ya Lowassa hakuna rais bora
Ni waovu wangapi wametoka CCM na Wamebaki wangapi?BIBLIA inasema amelaaaniwa mtu asemaye mtu mwovu ni mwema