Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani
Hey niaje mazingira ya ultimate security guard
Ulinzi ni proffessional wadau na ibalipa. Sema smtym inategemea unafanyia wapvhii kaz ya ulnzi. Security officer ni mlinzi kimsingi na it pays alot hivyo karibuni ktk fani
cio vizuri kumdharau mtu bz ni mlinzi kwanza utakuta mtu mwingne ni customer care wa kampuni za simu eti unamdharau mlinzi kua analipwa hela ndogo bila kujua anakuzidi hata wewe graduate kwa mshahara.... Jua kwamba kampuni kama kk, g4s, secur.group mwenye rank ya chini analipwa 250,000-300000 ukija kwa supervisor, site commander na zone manager wamekuacha ile mbaya kwa pay so zarau haifai
Hey niaje mazingira ya ultimate security guard
hivi securityguard wa African Barrick na Geita Gold mine mshara sh. ngapi?
kama mlinzi analipwa mpaka 250 thousand, je mwenye mlinzi analipwaje per head?cio vizuri kumdharau mtu bz ni mlinzi kwanza utakuta mtu mwingne ni customer care wa kampuni za simu eti unamdharau mlinzi kua analipwa hela ndogo bila kujua anakuzidi hata wewe graduate kwa mshahara.... Jua kwamba kampuni kama kk, g4s, secur.group mwenye rank ya chini analipwa 250,000-300000 ukija kwa supervisor, site commander na zone manager wamekuacha ile mbaya kwa pay so zarau haifai
500,000-300,000,000 Kariu
Wewe utakuwa mlinzi
site commander au field officer unakuta analipwa 500,000- 700,000 sasa huu si mshahara wa graduate anayeanza kazi serikalini?...tena unaweza usifike...bado hujamgusa zone manager so tuache zarau mheshimu kila mtu mahali pake anapofanyia
Wewe utakuwa mlinzi
Hivi G4S wanapatikana wapi nikaombe kazi jamani
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums