Tusidanganywe hati ya muungano ipo.

Tusidanganywe hati ya muungano ipo.

JEMA JEMA

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Wapinzani acheni kubabaika, maana mmekuwa mkishiriki katika chaguzi mbalimbali na chopa zenu mwisho mnaambulia kipigo, mfano Kalenga na Chalinze ni vipigo viwili vinavyowachanganya na kuamua kuwadanganya watanzania, na kutokana na stress za mara kwa mara mnaamua kuwadanganya watanzania et hati ya muungano haipo.

Jamani kuna msemo wa kiswahili usemao mfamaji aachi kutapata, wapinzani nao sasa wanakufa kisiasa hivyo wanatapatapa tu hawana jipya.

Hati ya muungano ipo na katika ofisi za katibu wa bunge ipo na sio ya kuchakachua kama wapinzani wanavyowadanganya watanzania,Watanzania tusidanganyike.
 
Upinzani wa tanzania ni njaa tu hawana la maana lolote kwa jamii.
 
Wapinzani acheni kubabaika, maana mmekuwa mkishiriki katika chaguzi mbalimbali na chopa zenu mwisho mnaambulia kipigo, mfano Kalenga na Chalinze ni vipigo viwili vinavyowachangapnya ona kuamua kuwadanganya watanzania, na kutokana na stress za mara kwa mara mnaamua kuwadanganya watanzania et hati ya muungano haipo.
Jamani kuna msemo wa kiswahili usemao mfamaji aachi kutapata, wapinzani nao sasa wanakufa kisiasa hivyo wanatapatapa tu hawana jipya.
Hati ya muungano ipo na katika ofisi za katibu wa bunge ipo na sio ya kuchakachua kama wapinzani wanavyowadanganya watanzania,Watanzania tusidanganyike.

We gamba gonjwa tena gonjwa kweli kweli, hivi mpinzani gani anaye wadanganya wananchi kuwa hati ya muungano haipo tuwekee hapa jina la huyo mpinzani.

Lakini hujui kuwa aliepinga kuwa hati ya muungano iliyo tolewa Bungeni hapo juzi ni Pius Msekwa akikataa kuwa hati iliyo tolewa ina sign ambayo si ya kwake wala ya baba wa taifa.

Haya wewe unasema hati ipo mpaka ktk ofisi ya katibu wa Bunge kwanini usiwasaidie hao wabunge kwa kwenda kuwaonyesha mahali uliko iweka,?

Usitake sifa kwa kudandia mambo usiyo yajua hapa kuna watu waelewa kuzidi wewe na magamba yako

BACK TANGANYIKA
 
Hahhaha USANIII huo. Hati ya muungano mulio nayo ni hiyo ya Nyerere na Pius Msekwa. Tumekwenda kortin Unguja tukaambiwa iko Daresalaam. Tumekwenda Kortini Daresalaaam na wakasema haupo hahahha kama ni waongo ni nyinyi watawala. Sasa eti ipo ipo mahala fulani, eee, tuko kwenye hatma ya muungano kama hamutulizi akili zenu vizuri, sisi muungano basi hatuutaki na tumekwisha waerlza ila nyinyi mumeshikilia. 61% ya wazanzibari wametaka mkataba kwa maana tuwe kama "east african community" kila mtu kivyake vyake. Munachoogopa muungano kuvunjikla ni nini?. Kama sisi hatutaki muungano, basi ni lazima?.
 
Back
Top Bottom