Tusidanganyike kila siku

sabudi

Member
Joined
Aug 22, 2014
Posts
66
Reaction score
92
Yani bado hatujawazoea wanasiasa uchwara jamani? angalia picha hiyo na uwe unaikumbuka kila ikifika kwenye kupiga kura.
 

Attachments

  • 10300960_617556418371892_2966992921163763118_n.jpg
    42.8 KB · Views: 281
Ndio maana nimesema kuwa wanasiasa ni watu wanao ishi maisha yao halisi yaani kila kitu wao wanafanya siasa siasa tu, sasa ona hadi kuomba papuchi anapiga siasa , chezea mr. politician. wewe.
 
wanasiasa nao ni raia kama wengine! ndo yale ya wananchi wa kawaida, hivi kuna wananchi wa kawaida na wasio wa kawaida? Lugha gani hizi?
 
wanasiasa nao ni raia kama wengine! ndo yale ya wananchi wa kawaida, hivi kuna wananchi wa kawaida na wasio wa kawaida? Lugha gani hizi?

Hata mimi mkuu nashangaa sana. Eti utasikia Watu wangu wana shida sana ya huduma za afya, maji, Barabara,N.K Ebo! una watu wewe mungu? Mara ohhh! serikali imesikia kilio cha wananchi! Ebo! Yani wananchi na serikali ni nani Bosi wa mwengine? Yani nilitaka niendelee kuongeza mengine lakini naona Basi nililokuwa nalisubiri lilee pale limefika hivyo naahirisha lakini nikifika Hom naendeleza!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…