Winor_224
Ulikuwa unajaribu kujenga hoja nzuri lakini ikakushinda, hata hiyo kazi ya kupump damu sio ya moyo bali ni conscious mind moyo ni kipitio tu cha kukamilisha mchakato
mwekundu ameongea kwa kifupi sana ametaja soul n mind hivi ndio vitu vinavyohusika na hisia zote za mwili ikiwemo mapenzi