Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 8,379
- 24,706
Nimejaribu mzigo OG wa Denim, Levi's na Lee zote lazima zichuje rangi, ila ukweli hizi zitachuja mdogo mdogo tofauti na zenye ubora mdogo.
Utakuta wafanyabishara wezi wanawaaminisha wateja wao kuwa wanauza jeans zisizochuja rangi.
Nani alikwambia jeans haichuji rangi? Tofauti ni kiwango cha uchujaji.
Kuna zile ukiweka tu kwenye maji hata bila kufua utakuta maji yote yamebadilika rangi. Hilo ni jeans au kopo la rangi?
Hakuna jeans ambayo haiwezi kabisa kuchuja rangi, hakuna.