Tusidanganyane, Barcelona haina mashabiki halisi Afrika

barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
32,375
29,730
Huo ndo ukweli, Barcelona Fc haina mashabiki wa kweli kutoka Afrika. Wengi ni VIHEREHERE TU, wasio jitambua na waliokuwa HEART BROKEN kwa timu zao za EPL kufanya vibaya.
PNC anajua hili, yaani ni MAKAPI ya CHELSICK FC, MANUTD, na ARSENAL fc tena vishabiki vyenyewe ni vile vyenye roho nyepesi kama unyoya.
Nawaheshimu sana FANS wa Liver, wako loyal.

MIMI NI ARSENAL FAN and will ALWAYS BE, ila nami sitakuwa jukwaa la ARSENAL mpaka WENGER AONDOKE!
 
1458119667308.jpg
 
Die hard fans wa nini wakati timu haina pressure??die hard fans wapo arsenal tu
Ndio maana nimeweka huu uzi, wewe unathibitisha hilo.

DIE HARD FAN ni yule shabiki ambaye ni wa KWELI, hata timu yake ifungwe vipi, ataumia ila KAMWE hatahama.
Sasa wewe UNAKIMBILIA mahali penye less pressure kila siki.
 
Nimekuelewa
Kama si makapi ya epl/ac Milan&inter Milan basi ni wale waliochelewa kushabikia soka
Kuna mashabik weng wa Barcelona waliotoka mikoani ambao wameanza kuangalia mpira kwa mkumbo walipokuja chuo dar,na wengi wanaishangilia Barcelona kwa sababu ya Messi kama wale walioanza kuishangilia kwa uwepo wa Ronaldinho

Barcelona haina die hard fans Tanzania
 
ngoja sisi makapi tupate burudani bila stress sasa we die hard wa arsenal endelea kufa maziko yako yataanzia saa tano kasorobo usiku wa leo
Die hard fan ni yule anayeipenda timu yake unconditionally
Kama unaipenda Barcelona kwa sababu haikupi stress itakuwaje siku ikikupa stress??
Hiyo inamaanisha wew sio die hard fan
Hiv unajua kama Newcastle united ina mashabiki Bongo?
 
Nimekuelewa
Kama si makapi ya epl/ac Milan&inter Milan basi ni wale waliochelewa kushabikia soka
Kuna mashabik weng wa Barcelona waliotoka mikoani ambao wameanza kuangalia mpira kwa mkumbo walipokuja chuo dar,na wengi wanaishangilia Barcelona kwa sababu ya Messi kama wale walioanza kuishangilia kwa uwepo wa Ronaldinho

Barcelona haina die hard fans Tanzania
Mkuu, wewe timu gani?
 
Back
Top Bottom