tusichoshane, kila saa nikubebe?

wamama wa mjini hii akili hawana kabisa
 
huo ubunifu ni noumaa.
 
Hahahahahah...Good morning mkuu!
enjoy ze furahiday....
 
kwa kweli amefunga kazi! wanatuchosha sana!
 
Akili ni nywele kila mtu ana zake tatizo watu wa vijijini na watanzania kwa ujumla wananyimwa haki yao ya kuonesha vipaji na akili zao kutokana na mazingira hatarishi tunayoishi chini ya CCM
 
Huyo ni baba aliachiwa mtoto mama kaenda chota maji, akaona mtoto anamsumbua na vilio...Kabuni.
 
Hii nimeikubali, bonge la ubunifu. Yule Bar maid angeijua hii style wala asinge hudumia wateja huku kambeba mwanae.
 
Hahaaaaa...ngojea na mie nikopi afu nikapesti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…