Tusiamini katika kusamehe nyakati zote

Tusiamini katika kusamehe nyakati zote

Unaona sasa unaanza kujua kuandika japo bado unatakiwa kujitahidi kidogo kwenye uhalisia wa script zako.

si script n ktu kutoka moyon n mwanamke alyensababshia mambo meng ya furaha na huzun maishan mwangu.
 
Avatar yako imenisisimua kwelikweli, huyo mtu namheshimu sana...!

Ccm wakimuona wanawaza kufanya yafuatayo(Kuzima umeme, kuleta fujo, kukataza midahalo, kupiga, kuua, kutesa, wizi)...! Huyu mtu salute kwake

huyu mzee n muhmu sana hatak kufa na dhamb ya endekeza ongo ya ccm
 
A complete sadness is better than half of it!!!
Lyf must go on
 
Tarehe kama ya leo miaka miwili iliyopita ilinipasa kufanya mamuzi magumu ya kumwacha mpenzi wangu wa muda mrefu.Siku hii ikfka inanipasa kukumbuka si kila kitu ni cha kusamehe muda mwingine mungu anakuandalia mlango wa kutokea pale unapobahatka kugundua au ni bahat tu kwako.mpenz wangu alikaa nami miaka zaidi ya 5.kuna kipindi alfanya kosa la kununa baada ya kumkuta akchat na mwanaume akiyedai amesoma nae na ni mtu wa karbu tu wa familia yao kwa hyo wanaheshmiana.sku nyngne huyo mtu aliyeweka alama mbaya moyoni kwani tangu siku ile uaminifu ukapotea juu yake.alimpgia smu mbele yangu wakiongea mambo ya kawaida lakn yakionyesha ukarbu wao awapo nyumban kwao.nkamnasa kuwa iweje ulsema umesoma nae leo unasema n mtu mzma sana na anafamilia.akaomba msamaha.kwa kfup kabla.alikuwa mwng wa hasra na haongei ananuna ukgusa juu ya huyo.nkaamua kufanya maamuz magumu kwani tulikuwa hatuna iman tena hofu za usalit na ksasi zilitawala mapenz yakawa kiza.sasa angalau na amani nilimpenda ila ningemsamehe nngeumizwa zaidi

btw just realised somthng.. kwenyr haya maisha ya r.ship... nobody is perfect .. truth is everybody is going to hurt you.. u better hv 1 worth suffering for.. ukiumizwa lia songa mbele.. coz hata wewe utanuumiza mtu cku moja. .. tsa cycle of life.
 
Back
Top Bottom