Tushirikishe fursa ya eneo lako

Tushirikishe fursa ya eneo lako

Diwani

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,903
Reaction score
3,140
Bila shaka mu salama wadau, kama ilivyo ada kwenye jukwaa letu pendwa la biashara huwa tunapeana taarifa kuhusu michongo mbali mbali ya kutukwamua kiuchumi.

Basi; naomba tutumie uzi huu mahsusi kutushirikisha fursa ya biashara iliyopo mahali unapoishi, ili wadau waje kuwekeza.

Uzi huu umeshinikizwa na usemi wa “Nabii hakubaliki kwao” [emoji16]

Karibu.
 
Wewe umeshindwa kutushirikisha fursa zilizopo hapo ulipo ulipo halafu unataka sisi tukushirikishe za huku tulipo, hiyo ni dalili ya uchoyo
 
Wewe umeshindwa kutushirikisha fursa zilizopo hapo ulipo ulipo halafu unataka sisi tukushirikishe za huku tulipo, hiyo ni dalili ya uchoyo

[emoji23][emoji23][emoji23] hapana mkuu, nimefungua uwanja tuu
 
Back
Top Bottom