Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,241 Reaction score 11,781 Nov 9, 2021 #21 Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda
Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,596 Nov 9, 2021 #22 Arien said: Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda Click to expand... Yaani Watu wanaishi maisha kwa ajili ya watu wengine.
Arien said: Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda Click to expand... Yaani Watu wanaishi maisha kwa ajili ya watu wengine.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,596 Nov 9, 2021 #23 Kijumba Cha vyumba viwili icho, kwa wenye familia ndogo[emoji116][emoji4]
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,596 Nov 9, 2021 #24 Vyumba 2 na seble[emoji116][emoji2]
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,596 Nov 9, 2021 #25 Miquel said: [emoji23][emoji23] huyu mpaka pakuche, vidole vya miguu vtakuwa mdomon kwa msela Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari Sana . Unaweza tamani uikimbie nyumba yako mwenyewe
Miquel said: [emoji23][emoji23] huyu mpaka pakuche, vidole vya miguu vtakuwa mdomon kwa msela Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787]hatari Sana . Unaweza tamani uikimbie nyumba yako mwenyewe
frabel Member Joined Mar 13, 2021 Posts 96 Reaction score 60 Nov 9, 2021 #26 ndunajr said: Mie sijajua gharama hapa ila nia yangu kuona kama kuna wadau wanazo sample za vijumba kama hivi tujichagulie kwaa ajili ya kujenga. Click to expand... Kaka karibu Uvimo kukuchoree na kukujengea baada ya kukupa gharama zote. Pichani ni kazi ya Uvimo kuanzia ramani, tathimini, kujenga,kupaua, kuezeka, umeme, Bomba na plasta. 0629361896 0753927572 - WhatsApp
ndunajr said: Mie sijajua gharama hapa ila nia yangu kuona kama kuna wadau wanazo sample za vijumba kama hivi tujichagulie kwaa ajili ya kujenga. Click to expand... Kaka karibu Uvimo kukuchoree na kukujengea baada ya kukupa gharama zote. Pichani ni kazi ya Uvimo kuanzia ramani, tathimini, kujenga,kupaua, kuezeka, umeme, Bomba na plasta. 0629361896 0753927572 - WhatsApp
M mwanyaluke JF-Expert Member Joined Jan 22, 2015 Posts 891 Reaction score 2,960 Dec 3, 2021 #27 Arien said: Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda Click to expand...
Arien said: Watu wanajipinda sana wajenge nyumba za 50m kwenda juu ilimradi tu wasionekane hawapendi wageni wakati wanaweza jijengea chumba kimoja maisha yakaenda Click to expand...
M mzabzab JF-Expert Member Joined Aug 18, 2011 Posts 46,229 Reaction score 90,683 Dec 6, 2021 #28 DeepPond said: Kijumba Cha vyumba viwili icho, kwa wenye familia ndogo[emoji116][emoji4]View attachment 2004333 Click to expand... Hii tamu...ramani yake na dimensions inakuwa bei gani
DeepPond said: Kijumba Cha vyumba viwili icho, kwa wenye familia ndogo[emoji116][emoji4]View attachment 2004333 Click to expand... Hii tamu...ramani yake na dimensions inakuwa bei gani
Arien JF-Expert Member Joined Aug 29, 2017 Posts 11,241 Reaction score 11,781 Dec 7, 2021 #29 mwanyaluke said: View attachment 2031679 Click to expand... Hongera mkuu
Kingubwe JF-Expert Member Joined Nov 29, 2018 Posts 238 Reaction score 208 Jan 16, 2022 #30 Nimependa hivi vijumba aisee kwa sie wenye familia ndogo vinatufaa sana kuanziaga maisha..