Vipimo vyake?
Vipimo unadesign mwenyewe viwe na ukubwa gani kutokana na mahitaji yako, kiwanja chako na mfuko wako.Vipimo vyake?
Ukipata mgeni unamfukuza.Mabachela, chumba kimoja ichoView attachment 1990751
Jamani haahaha
wooh thats very nice yanii oooh kesho napiga msingi cha kupangisha hahahamabachela itawafaa Sana iyoView attachment 1990726
Ndo maana Kuna nyumba za wageniUkipata mgeni unamfukuza.
Unalala nae TU mkuuView attachment 1990923

huyu mpaka pakuche, vidole vya miguu vtakuwa mdomon kwa mselaNimeikubali sana hii 🤩
Hi milioni 5 haifikiMabachela, chumba kimoja ichoView attachment 1990751