Nilitumia ifont kubadili font style kwenye sim naitaji kurudisha font ya zamani sasa nashindwa kuludisha ile ya zamani nifanyeje sasa wakuu anaejua naomba anijuze jinsi ya kuludisha
Naitumia hiyo Launcher kitambo sana, tangu zama za TECNO N3 mpk sasa nipo kwenye BOOM J8.
Naipenda sana hiyo launcher na ipo vzr sana kwa upande wangu.