Naitumia hiyo Launcher kitambo sana, tangu zama za TECNO N3 mpk sasa nipo kwenye BOOM J8.
Naipenda sana hiyo launcher na ipo vzr sana kwa upande wangu.
Jaman mie naomben ushaur.... Sim yangu ya tecno j7 inasumbua sana kwenye kucharg... Badala ya kujaa wakat nacharg yenyewe inanyonya hadi inafikia hatua ya kushundwa kuwaka... Nishanunua charg hadi nimechoka sijaona mabadiliko. Ushaur wenu tafadhali
Mkuu naomba msaada wa apps nzuri ya fonts kwenye simu ya TECNO C9...nimeroot ila nikidownlod ifont kwenye playstore niki badili ina change kwenye browser tu ila kwenye kichwa cha simu aibadiliki...