Jamani mimi nataka kudown load mobdro lakini nashindwa. Hii apps kama alivyosema
senetor jr haipatikani play store. Natumia sumsung galax s3. Nikitumia ile link aliyoweka pale kwenye post yake #1 inadownlord ila baadae inaniambia istall block na sababu ni kuwa hii pc yangu haisupport apps ambayo haipo play store.