ili kuzuia hili ilinibidi niiroot simu then nidowload avast then niiruhusu firewall ya avast ifanye kazi kwa simu yangu kisha nikablock apps zote ambazo kwa kiasi kiukubwa zinatoa ads kwa simu yangu mambo yakawa shwari maana ilikuwa kero hufanyi kitu tangazo
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Angalia ipi umechagua simu iwe inasave vitu, je ni memory card au internal storage?? Isijekuwa unaona kwa mfano memory card ina space wakati default storage ni internal storage hapo lazima hyo no enough space meseji itakuwa inakuja tu