Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

Hiyo apk ni format?
Apk ndio mfumo wa app za android. Kama kwenye video unaposema mp4, avi, so ukitafuta app andika jina la app kisha malizia apk, search engine itajua kwa urahisi unataka nini.
 
Mimi natafuta android app itakayoweza kufanya hivi
*#kuhide conversation ya specific number moja ya whatsapp, yaan kama vile zile app zinazoweza kufanya sms za kawaida zisiingie inbox ila ziende private inbox, nataka app itakayofanya hvyo kwa whatsapp
* android app itakayowezesha picha na video ninazotumiwa whatsapp na number flan ziingie private inabox, yaan nikishazidownload zisiende kwenye gallery ya kawaida
 
AROON tafadhari kokote ulipo nisaidie jinsi mobdro inavyofanya kazzii


Msaaaaaada aroon
 
Ukitaka ufulahie uzuri wa mobdro uwe na network kuanzia 3g na kuendelea ila ubaya mwingine ina hustler tv kwa kuonyesha ngono tup kwa ambao wenzangu na mm weka mbali na watoto.
Pia haina tv chaneli za ndani.
Matumozo tafadhari ya hii app mo jimeshindwa asee
 
Mkuu hivi uki re start simu unawezaje kupata images zilizokuwepo
 
Tumia go SMS naoma kuna mahali mwanzo wa thread imeelezewa
 
Wadau toka juzi simu yangu nikizima data bado internet inaendelea kufanya kazi, tatizo ni nini??? Naombeni msaada maana charge inakwisha vibaya mno
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…