ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Apr 15, 2016 #541 cognition said: download google photo ipo playstore,unachofanya ni kuzi upload picha na video huko hazioni na mtu,zaidi yako mwenyewe,alafu unazifuta hizo picha na videos kwenye simu yako,picha zina baki.na ukubwa wake ule ule,tumia hiyo ni njia nzuri sana Click to expand... Inakula sana bundle mkuu sasa kama ana vitu vingi ita mcost
cognition said: download google photo ipo playstore,unachofanya ni kuzi upload picha na video huko hazioni na mtu,zaidi yako mwenyewe,alafu unazifuta hizo picha na videos kwenye simu yako,picha zina baki.na ukubwa wake ule ule,tumia hiyo ni njia nzuri sana Click to expand... Inakula sana bundle mkuu sasa kama ana vitu vingi ita mcost
HKBW JF-Expert Member Joined Aug 4, 2009 Posts 468 Reaction score 348 Apr 15, 2016 #542 July Fourth said: Ni app nzuri. Sema i prefer spotify Click to expand... Spotify kwa mziki imetulia sana.
July Fourth said: Ni app nzuri. Sema i prefer spotify Click to expand... Spotify kwa mziki imetulia sana.
xb664 JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 200 Reaction score 129 Apr 16, 2016 #543 HKBW said: Spotify kwa mziki imetulia sana. Click to expand... Spotify yenye icon gani
dSamizi Senior Member Joined Jan 2, 2016 Posts 106 Reaction score 54 Apr 16, 2016 #544 Hiyo videoder nmeitumia kiukweli ni app nzuri Sanaa. Msaada wa app nnaweza tumia download videos/music kwenye iPad
Hiyo videoder nmeitumia kiukweli ni app nzuri Sanaa. Msaada wa app nnaweza tumia download videos/music kwenye iPad
xb664 JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 200 Reaction score 129 Apr 16, 2016 #545 Appl gani nzr kwa free WiFi
ESPRESSO COFFEE JF-Expert Member Joined Sep 6, 2014 Posts 6,146 Reaction score 7,676 Apr 16, 2016 #546 Kuna mtu humu alisema aliwahi kudownload cracked version ya power ramp player msaada tafadhali jinsi ya kudownload
Kuna mtu humu alisema aliwahi kudownload cracked version ya power ramp player msaada tafadhali jinsi ya kudownload
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #547 xb664 said: Appl gani nzr kwa free WiFi Click to expand... wife map ipo play store
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #548 Samizi said: Hiyo videoder nmeitumia kiukweli ni app nzuri Sanaa. Msaada wa app nnaweza tumia download videos/music kwenye iPad Click to expand... tubemater
Samizi said: Hiyo videoder nmeitumia kiukweli ni app nzuri Sanaa. Msaada wa app nnaweza tumia download videos/music kwenye iPad Click to expand... tubemater
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 16, 2016 #549 danya said: Kuna mtu humu alisema aliwahi kudownload cracked version ya power ramp player msaada tafadhali jinsi ya kudownload Click to expand... Poweramp uki root simu ni simple sana kuicrack. Lkn hizo za kudawnload hazichukui muda ile key inagoma.
danya said: Kuna mtu humu alisema aliwahi kudownload cracked version ya power ramp player msaada tafadhali jinsi ya kudownload Click to expand... Poweramp uki root simu ni simple sana kuicrack. Lkn hizo za kudawnload hazichukui muda ile key inagoma.
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #550 Hans Pol said: Poweramp uki root simu ni simple sana kuicrack. Lkn hizo za kudawnload hazichukui muda ile key inagoma. Click to expand... mkuu inakazi gani hyo
Hans Pol said: Poweramp uki root simu ni simple sana kuicrack. Lkn hizo za kudawnload hazichukui muda ile key inagoma. Click to expand... mkuu inakazi gani hyo
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 16, 2016 #551 d tarimo said: mkuu inakazi gani hyo Click to expand... Ni music player ipo vzr sana,hata kama una earphone za 3000 inagonga music hatari nenda play store uchukue trial yake inakaa kwa siku 14.
d tarimo said: mkuu inakazi gani hyo Click to expand... Ni music player ipo vzr sana,hata kama una earphone za 3000 inagonga music hatari nenda play store uchukue trial yake inakaa kwa siku 14.
kcamp JF-Expert Member Joined Aug 31, 2014 Posts 8,526 Reaction score 8,031 Apr 16, 2016 #552 Kibajajitz said: Sio lazima kuroot ndio uweke custom rom.kama samsung kuna program inaitwa odin mimi ndio naitumiaa kubadilisha hizi rom. Click to expand... rom gani uliweka bia kuroot simu? tena kwa kutumia 0din
Kibajajitz said: Sio lazima kuroot ndio uweke custom rom.kama samsung kuna program inaitwa odin mimi ndio naitumiaa kubadilisha hizi rom. Click to expand... rom gani uliweka bia kuroot simu? tena kwa kutumia 0din
dSamizi Senior Member Joined Jan 2, 2016 Posts 106 Reaction score 54 Apr 16, 2016 #553 d tarimo said: tubemater Click to expand... Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana
d tarimo said: tubemater Click to expand... Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #554 Hans Pol said: Ni music player ipo vzr sana,hata kama una earphone za 3000 inagonga music hatari nenda play store uchukue trial yake inakaa kwa siku 14. Click to expand... mkuu nimeikubali
Hans Pol said: Ni music player ipo vzr sana,hata kama una earphone za 3000 inagonga music hatari nenda play store uchukue trial yake inakaa kwa siku 14. Click to expand... mkuu nimeikubali
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #555 Samizi said: Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana Click to expand... mkuu mm ndo ninaitumia kudonload vidio haipo play store
Samizi said: Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana Click to expand... mkuu mm ndo ninaitumia kudonload vidio haipo play store
d tarimo JF-Expert Member Joined Jul 23, 2015 Posts 918 Reaction score 516 Apr 16, 2016 #556 Samizi said: Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana Click to expand... Attachments 1460818530226.jpg 25.8 KB · Views: 180
Samizi said: Mkuu nmeijaribu lkn ina play tu haidownload, inanilazimu kuplay online. Msaada zaid km inawezekana Click to expand...
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 16, 2016 #557 d tarimo said: mkuu nimeikubali Click to expand... Ifanyie setting vizuri then uta toa comment mwenyewe. Ziki fika siku 14 inabidi uifute udawnload tena kama simu yako sio rooted.
d tarimo said: mkuu nimeikubali Click to expand... Ifanyie setting vizuri then uta toa comment mwenyewe. Ziki fika siku 14 inabidi uifute udawnload tena kama simu yako sio rooted.
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 16, 2016 #558 d tarimo said: tubemater Click to expand... Mkuu umemaanisha tubemate au ipo nyingine inaitwa tubemater?
d tarimo said: tubemater Click to expand... Mkuu umemaanisha tubemate au ipo nyingine inaitwa tubemater?
mtoto wa kibopa JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 5,336 Reaction score 6,427 Apr 16, 2016 #559 kcamp said: rom gani uliweka bia kuroot simu? tena kwa kutumia 0din Click to expand... Niliweka rom official ya samsung s4 nasimu haikuwa rooted
kcamp said: rom gani uliweka bia kuroot simu? tena kwa kutumia 0din Click to expand... Niliweka rom official ya samsung s4 nasimu haikuwa rooted
jem_the_great JF-Expert Member Joined Aug 30, 2013 Posts 289 Reaction score 158 Apr 16, 2016 #560 Mobdro kwangu ina play vizur nikiangalia channel za kawaida..ila live game za football inakuwa inagoma kabisa..hapa tatizo n nn wakuu?
Mobdro kwangu ina play vizur nikiangalia channel za kawaida..ila live game za football inakuwa inagoma kabisa..hapa tatizo n nn wakuu?