S SHAKIULA Senior Member Joined Jun 20, 2013 Posts 121 Reaction score 24 Apr 12, 2016 #421 Simnet Tanzania jamani mwenye uzoefu nishaibiwa!!!!
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 12, 2016 #422 danya said: Hivi iphone unaweza kuroot......??? Teh teh teh Click to expand... Kwa uzoefu nilio upata humu jf kwa simu za Iphone ni jeilbreak. Kwa android ndio Root
danya said: Hivi iphone unaweza kuroot......??? Teh teh teh Click to expand... Kwa uzoefu nilio upata humu jf kwa simu za Iphone ni jeilbreak. Kwa android ndio Root
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 12, 2016 #423 Jileka said: Mkuu root checker inaonesha kuwa cm ipo rooted na mpaka nimeweza kui uninstall browser iliyo kuja na simu. Click to expand... Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall.
Jileka said: Mkuu root checker inaonesha kuwa cm ipo rooted na mpaka nimeweza kui uninstall browser iliyo kuja na simu. Click to expand... Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall.
fakalava JF-Expert Member Joined Jul 16, 2015 Posts 4,459 Reaction score 6,030 Apr 12, 2016 #424 July Fourth said: Ni app nzuri. Sema i prefer spotify Click to expand... Nitaijaribu.
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 690 Apr 12, 2016 #425 wa ukae said: Mkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona Click to expand... Na mimi naitaka
wa ukae said: Mkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona Click to expand... Na mimi naitaka
M masafi JF-Expert Member Joined Aug 4, 2015 Posts 710 Reaction score 690 Apr 12, 2016 #426 wa ukae said: Mkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona Click to expand... Na mimi utanipa ukiipata
wa ukae said: Mkuu ile channel ya pilau kwenye modro inaitwaje? Maana mimi sijaiona Click to expand... Na mimi utanipa ukiipata
City Owl JF-Expert Member Joined Mar 21, 2014 Posts 3,766 Reaction score 8,250 Apr 12, 2016 #427 masafi said: Na mimi utanipa ukiipata Click to expand... Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv... Nmeitafutaa wee..sjaiona SA sijui ni Macho yangu au ilikuwa chai ya jamaa
masafi said: Na mimi utanipa ukiipata Click to expand... Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv... Nmeitafutaa wee..sjaiona SA sijui ni Macho yangu au ilikuwa chai ya jamaa
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 12, 2016 #428 City owl said: Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv... Nmeitafutaa wee..sjaiona SA sijui ni Macho yangu au ilikuwa chai ya jamaa Click to expand... masafi said: Na mimi utanipa ukiipata Click to expand... masafi said: Na mimi naitaka Click to expand... Wakuu hapa naona mpo nje ya mada... Mtazamo wangu tu lakini...
City owl said: Kuna Jamaa alidai inaitwa Hustler Tv... Nmeitafutaa wee..sjaiona SA sijui ni Macho yangu au ilikuwa chai ya jamaa Click to expand... masafi said: Na mimi utanipa ukiipata Click to expand... masafi said: Na mimi naitaka Click to expand... Wakuu hapa naona mpo nje ya mada... Mtazamo wangu tu lakini...
mamylove JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 1,090 Reaction score 1,783 Apr 12, 2016 #429 Jileka said: Me natumia adaway!!!!!! Click to expand... Adaway iko poa sana
mamylove JF-Expert Member Joined Apr 5, 2014 Posts 1,090 Reaction score 1,783 Apr 12, 2016 #430 Hans Pol said: Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall. Click to expand... ka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu
Hans Pol said: Mkuu polepole kwenye kufuta hizo App. Mm nikushauri tumia luckypatcher kuzi freeze kuliko kuzi uninstall. Click to expand... ka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu
Senator jr JF-Expert Member Joined Apr 3, 2016 Posts 368 Reaction score 498 Apr 12, 2016 Thread starter #431 mamylove said: Adaway iko poa sana Click to expand... Ndo nini hiyo ikiwezekana weka link
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 12, 2016 #432 Senator jr said: Ndo nini hiyo ikiwezekana weka link Click to expand... Adaway ni andriod app kama simu yako ipo rooted ikeweja hiyo app na uka enable. Hutoona matangazo yale yanayosumbua kwenye app zako za simu.
Senator jr said: Ndo nini hiyo ikiwezekana weka link Click to expand... Adaway ni andriod app kama simu yako ipo rooted ikeweja hiyo app na uka enable. Hutoona matangazo yale yanayosumbua kwenye app zako za simu.
youngashley Senior Member Joined Apr 26, 2013 Posts 187 Reaction score 52 Apr 12, 2016 #433 Hans Pol said: Kiongozi hebu ingia playstore dawnload root checker. Iku dhihirishie kuwa hiyo simu ipo rooted ama vipi. Click to expand... Kama haiko root unafanyaje mkuu
Hans Pol said: Kiongozi hebu ingia playstore dawnload root checker. Iku dhihirishie kuwa hiyo simu ipo rooted ama vipi. Click to expand... Kama haiko root unafanyaje mkuu
Bama11 Member Joined Apr 11, 2015 Posts 31 Reaction score 25 Apr 12, 2016 #434 kcamp said: Tumia scribd Click to expand... Hii mbona scribd hadi ulipie premium ndio unavisoma hii inakuaje aise au kuna namna nyngne yakutumia
kcamp said: Tumia scribd Click to expand... Hii mbona scribd hadi ulipie premium ndio unavisoma hii inakuaje aise au kuna namna nyngne yakutumia
kirusi cha ukimwi JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 799 Reaction score 647 Apr 12, 2016 #435 a.rahabu said: Hapana nataka app ambayo ntapakua series za korea Click to expand... Dramania ni kiboko
a.rahabu said: Hapana nataka app ambayo ntapakua series za korea Click to expand... Dramania ni kiboko
SangaweJr JF-Expert Member Joined Oct 28, 2012 Posts 2,990 Reaction score 2,669 Apr 12, 2016 #436 youngashley said: Kama haiko root unafanyaje mkuu Click to expand... Kama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa.
youngashley said: Kama haiko root unafanyaje mkuu Click to expand... Kama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa.
kirusi cha ukimwi JF-Expert Member Joined Dec 28, 2015 Posts 799 Reaction score 647 Apr 12, 2016 #437 Erickjr said: Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda. Click to expand... Halafu nimechukua leo ambayo ni updated sio mchezo naangalia disney chanels tu
Erickjr said: Mobdro Nzur Sanaa Ninayo Muda. Click to expand... Halafu nimechukua leo ambayo ni updated sio mchezo naangalia disney chanels tu
youngashley Senior Member Joined Apr 26, 2013 Posts 187 Reaction score 52 Apr 12, 2016 #438 Hans Pol said: Kama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa. Click to expand... Sawa natumia H6 embu nitumie application gani niweze kuroot vizuri mkuu maana supersue inakataa
Hans Pol said: Kama simu sio root uchaguzi ni wako ku root au kuacha kabisa. Click to expand... Sawa natumia H6 embu nitumie application gani niweze kuroot vizuri mkuu maana supersue inakataa
nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,274 Reaction score 7,774 Apr 12, 2016 #439 mamylove said: ka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu Click to expand... Samsung aina gani mkuu
mamylove said: ka samsung kangu kapo kopo tu ndani sina hamu Click to expand... Samsung aina gani mkuu
Shindu Namwaka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 4,911 Reaction score 3,084 Apr 12, 2016 #440 youngashley said: Dah natumia H6 TECNO nitumie root gani kwenye hii simu iweze kuroot Click to expand... Tumia King root
youngashley said: Dah natumia H6 TECNO nitumie root gani kwenye hii simu iweze kuroot Click to expand... Tumia King root