Salama wakuu naombeni msaada wenu nnatatizo nilikua naapdet whatsap sasa nikasaau kufanya backup ili mesej zangu za zamani zirudi je nifanyeje nizipate mwenye kufaham msaada tafadhal.
hiyo hata mimi huwa inatokea hasa kwenye simu za samsung mara nyingi ni baada ya kuiwasha na inachukua kama sec 10 hivi
nahisi apps zitakuwazinajiweka sawa
Mkuu nijibu nina simu Samsung Galaxy J7 Prime na TV pia samsung smart shida sioni HD picha nikiconnect mobdro kwenye TV. Msaada pls. Au nimedownload wrong APK?