Hahahhahahha pengine anamaanisha via usb on deck
Kumsaidia ni kwamba aangalie wakati anachomeka hyo usb kwenye deck na simu ahakikishe hyo source isome media not charge only,,
Wao wanaona kila anaesema ameanzisha group analengo lile alilolileta hapa jukwaani wakati wengine ni njia ya kukusanya members wawe wengi kwenye group yake ili atumie hiyo nafasi kutangaza bidhaa zake au kufanya biashara.