Ukweli ni kwamba maisha siku hizi yamebadilika na wanawake wengi wamekuwa waongo ktk mapenz,c wavumilivu ktk shida,wengi wana tamaa ya maisha mazuri ya haraka2 pia wengi wanaangalia wanaume wenye maisha mazuri ili wapate jikwamua na umaskini na shida zingine za kibinadamu ndo maana wanaume pia wanaogopa kuoa!
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums