badest man New Member Joined May 12, 2020 Posts 4 Reaction score 0 May 12, 2020 #101 Mm ndye baba yke na Chris brown Pamoja na pacha yke hamorapa Sent using Jamii Forums mobile app
kudath omar Senior Member Joined Mar 18, 2018 Posts 177 Reaction score 215 May 12, 2020 #102 mkulu senkondo said: Mm ndiye mwenye hati miliki ya kumikiki watoto wote wazuri wa JF. Click to expand... Mimi ndo nilitia sign hiyo hati milki yako
mkulu senkondo said: Mm ndiye mwenye hati miliki ya kumikiki watoto wote wazuri wa JF. Click to expand... Mimi ndo nilitia sign hiyo hati milki yako
kudath omar Senior Member Joined Mar 18, 2018 Posts 177 Reaction score 215 May 12, 2020 #103 chaliifrancisco said: Ningekuwa Moderator huu uzi ningeufutilia mbali. Click to expand... Mimi ndo moderator...nakupiga burn
chaliifrancisco said: Ningekuwa Moderator huu uzi ningeufutilia mbali. Click to expand... Mimi ndo moderator...nakupiga burn
badest man New Member Joined May 12, 2020 Posts 4 Reaction score 0 May 12, 2020 #104 kudath omar said: Mimi ndo moderator...nakupiga burn Click to expand... H-hhhh Sent using Jamii Forums mobile app
kudath omar said: Mimi ndo moderator...nakupiga burn Click to expand... H-hhhh Sent using Jamii Forums mobile app
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,160 Reaction score 11,214 May 12, 2020 #105 Mimi ndie nliemuuzia kitwanga KONYAGI Sent using Jamii Forums mobile app
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,531 Reaction score 81,259 May 13, 2020 #106 kudath omar said: Mimi ndo moderator...nakupiga burn Click to expand... Siogopi "burn" labda unipige "ban".
kudath omar said: Mimi ndo moderator...nakupiga burn Click to expand... Siogopi "burn" labda unipige "ban".
Idd Ninga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2012 Posts 5,539 Reaction score 4,852 May 13, 2020 #107 Luhan _chen said: Me ndo osama Click to expand... Sasa nani alikuua kati ya hao wawili wanaobishana ?
Luhan _chen said: Me ndo osama Click to expand... Sasa nani alikuua kati ya hao wawili wanaobishana ?
Yousepe Member Joined May 5, 2020 Posts 6 Reaction score 6 May 13, 2020 #108 naitwa sperm, nikivurugwa mwanamke anavimba tumbo
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,941 Reaction score 12,503 May 13, 2020 #109 Hawachi said: Mimi Waziri mkuu Click to expand... Acha uongo. Wewe ni melo, waziri mkuu ni wewe
MWEMBEKIUNO JF-Expert Member Joined Sep 6, 2016 Posts 1,877 Reaction score 2,531 May 13, 2020 #110 Nipo kwenye kikao cha mwisho hapa sayari ya Pluto kuridhiana na Aliens wanipe dawa ya corona nirudi nayo duniani Sent using Jamii Forums mobile app
Nipo kwenye kikao cha mwisho hapa sayari ya Pluto kuridhiana na Aliens wanipe dawa ya corona nirudi nayo duniani Sent using Jamii Forums mobile app
Hammy Js JF-Expert Member Joined Sep 20, 2017 Posts 3,053 Reaction score 3,268 May 14, 2020 #111 Nina mpango wa kununua posta yote halafu nivunje magorofa ili nipate eneo la kupanda mahindi na mihogo
Nina mpango wa kununua posta yote halafu nivunje magorofa ili nipate eneo la kupanda mahindi na mihogo
Cheusi kekundu Member Joined May 14, 2020 Posts 6 Reaction score 1 May 15, 2020 #112 Iselamagazi said: Mleta Uzi hivi una umri gani wa kuzaliwa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mimi ndiye niliye mwaga pombe ya Madee
Iselamagazi said: Mleta Uzi hivi una umri gani wa kuzaliwa? Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Mimi ndiye niliye mwaga pombe ya Madee
B bestmale JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 3,067 Reaction score 1,808 May 15, 2020 #113 Mimi ndiye babayenu mzazi Sent using Jamii Forums mobile app
wiztech JF-Expert Member Joined Apr 20, 2020 Posts 260 Reaction score 516 May 15, 2020 #114 mbwa wewe Sent using Jamii Forums mobile app
C city center JF-Expert Member Joined Jun 27, 2018 Posts 212 Reaction score 271 May 15, 2020 #115 hatimaye nimeweza kuandika jina langu hewani daah nimehangaika sana
samir nassir JF-Expert Member Joined Feb 5, 2017 Posts 1,119 Reaction score 1,478 May 15, 2020 #116 Mm ndie nilietengeneza covid 19 corona Sent using Jamii Forums mobile app
Sipendi Uchawa JF-Expert Member Joined Dec 19, 2016 Posts 7,941 Reaction score 12,503 May 19, 2020 #117 Lile fuvu la olduvai ni la kichwa changu. Kesho namtuma kigwangala anirudishie nimechoka kushikilia ubongo.
Lile fuvu la olduvai ni la kichwa changu. Kesho namtuma kigwangala anirudishie nimechoka kushikilia ubongo.
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,221 May 19, 2020 #118 Luhan _chen said: Tangia 1980's nafanya kazi ya kuvuna ma Apple then yanawekwa kwenye Iphone yakisha megwa na #MO11 Click to expand... πππππππ
Luhan _chen said: Tangia 1980's nafanya kazi ya kuvuna ma Apple then yanawekwa kwenye Iphone yakisha megwa na #MO11 Click to expand... πππππππ
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 50,504 Reaction score 203,221 May 19, 2020 #119 Zabron Hamis said: Lile fuvu la olduvai ni la kichwa changu. Kesho namtuma kigwangala anirudishie nimechoka kushikia ubongo. Click to expand... Hahah aisee
Zabron Hamis said: Lile fuvu la olduvai ni la kichwa changu. Kesho namtuma kigwangala anirudishie nimechoka kushikia ubongo. Click to expand... Hahah aisee
T 1990 ELY JF-Expert Member Joined Sep 7, 2014 Posts 12,931 Reaction score 30,082 May 19, 2020 #120 Depal ni mke wangu wa ndoa Sent using Jamii Forums mobile app